Iko hivi, nina Manzi yupo grocery, anauza vinywaji.. sasa huyu Manzi mimi kanitunuka fresh fresh, na najua manzi ananielewa sana
Sasa ninefika location hapa nakutana na mwamba tumejuana juzi juzi tu, kaniona tu Nimepigwa ofa za bia.. huyu jamaa anafanya kazi na bro angu.
Sasa anamuimba Manzi yangu, sasa hapa nipo tu nacheki picha linaendaje [emoji23][emoji23][emoji3525]
Sina stress hata Manzi akibebwa tu, nipate gia ya kuachana nae.
Ila picha lilivyo hadi sasa ni kwamba nimeambiwa leo kutakua na Kandanda Manzi anaupiru kasema leo mikazo muhimu.
Sasa kinachonipa maswali ninkwamba jamaa akijua siku mimi nilikua namchora na nakula huyo manzi, nitaonekana msera manvi.
sijui nimwambie tu mapema kuwa muuza bia ni Mwanzi yangu au nikaushe.