Chenge JF-Expert Member Joined Oct 5, 2011 Posts 1,073 Reaction score 378 Sep 24, 2012 #1 Ni muda mrefu sasa tangu Kova alipotutangazia kuwa mtuhumiwa wa shambulizi la Dr Ulimboka amekamatwa na kufikishwa Mahakamani.Mwenye taarifa ya nini kinachoendelea katika kesi ya Jeshua Mkenya anijuze tafadhali.
Ni muda mrefu sasa tangu Kova alipotutangazia kuwa mtuhumiwa wa shambulizi la Dr Ulimboka amekamatwa na kufikishwa Mahakamani.Mwenye taarifa ya nini kinachoendelea katika kesi ya Jeshua Mkenya anijuze tafadhali.
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,761 Sep 24, 2012 #2 hivi kuna mtu anaweza kupoteza muda wake kufatilia hiyo movi la kichina..
marejesho JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 6,634 Reaction score 3,662 Sep 24, 2012 #3 Mtayarishaji kaishiwa kidogo anasubiri wawekezaji ili aweze kutoa part 2 !!!
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 5,007 Sep 24, 2012 #4 Hata matokeo ya tume yenyewe kimyaaaaaa. Ndivyo movie ilivyokwisha hivyo!
bornagain JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 3,383 Reaction score 1,360 Sep 24, 2012 #5 Kwanza Ulimboka yeye mwenyewe yupo wapi
E engmtolera JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 5,149 Reaction score 1,441 Sep 24, 2012 #6 Genecius Kaiza said: Hata matokeo ya tume yenyewe kimyaaaaaa. Ndivyo movie ilivyokwisha hivyo! Click to expand... kaizaa,hahahaha upepo umepita
Genecius Kaiza said: Hata matokeo ya tume yenyewe kimyaaaaaa. Ndivyo movie ilivyokwisha hivyo! Click to expand... kaizaa,hahahaha upepo umepita
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 5,007 Sep 24, 2012 #7 engmtolera said: kaizaa,hahahaha upepo umepita Click to expand... Ndo manake mkuu!!!!!
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,551 Sep 24, 2012 #8 Kova akiona mnakumbushia hivi roho inampasuka paaah!