Wakuu,
Mimi nimepanga hapa Dar. Kuna mwanamke naye anakaa Nyumba hii hii niliyopanga (anakaa na ndugu zake)
Huwa tunawasiliana almost kila siku kwa simu, na juzi kati nilimnunulia vizawadi toka supermarket(ili kuzidi kuweka ukaribu) na alipokea vizuri kabisa.
Jana nilimtoa out for Dinner na katika mazungumzo nikachomekea mtongozo.
Hakuonyesha ushirikiano sana, na akasema hawezi kunipa jibu kwa wakati huo. Jibu lake hilo liliniweka out of mood kichizi.
So naona kama mbinu niliyotumia (Plan A) haijazaa matunda niliyotegemea Coz nahitaji kumla huyu mtoto fasta.
Kwa hiyo wakuu, hebu Nipeni Technics na maujuzi nimn'goe huyu mtoto mzuri.
Sent using
Jamii Forums mobile app