Nipeni mbinu za kumpata huyu mwanamke

Nipeni mbinu za kumpata huyu mwanamke

mdoghosho

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2016
Posts
969
Reaction score
1,391
Wakuu,

Mimi nimepanga hapa Dar. Kuna mwanamke naye anakaa Nyumba hii hii niliyopanga (anakaa na ndugu zake)

Huwa tunawasiliana almost kila siku kwa simu, na juzi kati nilimnunulia vizawadi toka supermarket(ili kuzidi kuweka ukaribu) na alipokea vizuri kabisa.

Jana nilimtoa out for Dinner na katika mazungumzo nikachomekea mtongozo.
Hakuonyesha ushirikiano sana, na akasema hawezi kunipa jibu kwa wakati huo. Jibu lake hilo liliniweka out of mood kichizi.

So naona kama mbinu niliyotumia (Plan A) haijazaa matunda niliyotegemea Coz nahitaji kumla huyu mtoto fasta.

Kwa hiyo wakuu, hebu Nipeni Technics na maujuzi nimn'goe huyu mtoto mzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbinu hama mtaa uendelee na ishu zako, wenda unaweza kupata wa kuoa kabisa ili hizo mbinu uzifanyie ndani ya ndoa.
 
nenda bafuni kampigie nyeto lzm utampata, h njia nmewaopoa mabinti wengi sana kitaa changu.
 
Nnaweza nikatoa ushauri halafu kumbe mdada mwenyewe nami niko kwenye harakati naye.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom