Naamini kuwa licha ya mazuri mliyopitia lakini pia kuna mabaya aliyowahi kukufanyia. So huu ndo wakati wa kudeal na yale mabaya aliyokutendea usiyafikirie mazuri huta msahau. Na usikurupukie kampani utajikuna una mwingine atakayekuumiza zaidi, na dhamira yako ya kuwa single ikabaki hadithi. Ni hayo tu mdada.
Sent from my BlackBerry 8900 using JamiiForums
Nimezaliwa hvyo..sipendi mahusiano ma2 at once...tx nways for da advice...
hiki ndio kipindi cha kusomana naye..najarbu kila wakat kuongea naye na anabadrika kwa muda na anaendlea na tabia yake...huon kama atanisumbua hta ndoani...
Mimi ni msichana nimemaliza chuo mwaka huu,nina boyfriend kwa miaka 2 sasa ila amebadirika sana siku hizi,nampenda sana na sina mwanaume mwngine zaidi yake thou kwao wananijua...naombeni mnipe mbinu za kumsahau sitaki kumtegemea as future husband maana atanisumbua baadaye...plz ur help...natanguliza shukurani...
Huna lolote...unataka kutongozwa tu.