Nakufahamisha my friend from experience, huyo kamatana naye mfunge ndoa, jifanye mjinga kipindi hiki, lakini kuwa na plan B. Usimuache, who knows anaeza kuwa ndiye hubby! Plan B ni muhimu sana whether uko kwenye ndoa au bado. Pia jifunze kutompenda saaaaana mpenzi wako, kutomuamini saaaana, huyo si MUNGU lol!
Last if not least don't put all your eggs in one basket!

sawa ntafanya hvyo....tx kwa ushaur.
amia kwangu maisha yako yatakuwa mazuri sana na hauta juta
This's the best advise i gues. Imegusa pande zote za kuukabili uhusiano unaoyumba yumba ila upendo upo miongoni mwa partners.
nimetumia mbnu nyngi sana bt zimeshindwa....
can gve mi other techniques...
Franky unajua mwenyewe anasema bado anampenda, wapo bado kwenye mahusiano, sasa unavunja mahusiano ya nini, anadhani atakuja kupata mr perfect? ndo anaendelea na ndoto za utopia tuEbu achana nae kwanza huyo shababi halafu njoo uombe ushauri wa kuishi singo. Maana sijaelewa unaomba ushauri wa nini ukiwa bado na mahusiano.
Mkuu Kaizer umeona anavyojichanganya lakini? Mara bado anampenda ,mara anataka ushauri wa kuishi singo. Which is which?Franky unajua mwenyewe anasema bado anampenda, wapo bado kwenye mahusiano, sasa unavunja mahusiano ya nini, anadhani atakuja kupata mr perfect? ndo anaendelea na ndoto za utopia tu
angalia sana pono utaweza kufaulu kuishi singo
Haha Limi unanifurahisha kweli. Kila ushauri unaopewa we jibu lako ''thanx nitafanya hivyo'' utaweza kutekeleza hizo shauri ulizokubaliana nazo zote? I ain't offending, just askin my dear