Nipeni mbinu za kuishi single

Nipeni mbinu za kuishi single

limi

Senior Member
Joined
Jun 8, 2013
Posts
124
Reaction score
33
Mimi ni msichana nimemaliza chuo mwaka huu,nina boyfriend kwa miaka 2 sasa ila amebadirika sana siku hizi,nampenda sana na sina mwanaume mwngine zaidi yake thou kwao wananijua...naombeni mnipe mbinu za kumsahau sitaki kumtegemea as future husband maana atanisumbua baadaye...plz ur help...natanguliza shukurani...
 
Kumsahau kabisa haiwezekani kwakuwa tayari ana alama ndani ya hisia zako za kimapenzi, kwa kawaida huchukua si chini ya miaka miwili kuweza kuachana kabisa na mtu unayempenda sana..that's why wanasema only time can heal broken hearts...!

During that time utafanya mambo mengi mengine ya kijinga kabisa ili tu umsahau au kumuumiza hisia zake lakini mwishowe your will have to let it go... utaamka Siku moja tu na kusema inatosha then it will come to the end though sometimes with severe damage and a lot of pains
 
^^
Wenzako wanasema uwe na PLAN B
Ha ha haa wanawake bhana!
Btw nimeshangaa bado kuna wanawake wanajitoa kwa uaminifu kwa mwanaume mmoja.
Pole limi u single una gharama zake..just keep yourself busy
^^
 
Last edited by a moderator:
Hebu jikeep bussy,,,, kama umeshapata kazi kuwa bize na kazi yako if not soma vitabu, angalia movie au shinda jf soma thread zote!!!!!!! kama una mtaji fungua biashara hata kama ni ndogo itamkufanya uwe bize,,,,,,, w'end jitoe kula kunywa utakacho.
 
tx for da advice...
 
Hebu jikeep bussy,,,, kama umeshapata kazi kuwa bize na kazi yako if not soma vitabu, angalia movie au shinda jf soma thread zote!!!!!!! kama una mtaji fungua biashara hata kama ni ndogo itamkufanya uwe bize,,,,,,, w'end jitoe kula kunywa utakacho.[/Q

bado cjapata kazi ndio nafight nitafute...nachoona ntapopata kazi itakuwa rahisi kumsahau...biashara nimeanza bt huwa natuma mkoani so hainiweki busy sana...
 
^^
Wenzako wanasema uwe na PLAN B
Ha ha haa wanawake bhana!
Btw nimeshangaa bado kuna wanawake wanajitoa kwa uaminifu kwa mwanaume mmoja.
Pole limi u single una gharama zake..just keep yourself busy
^^

Nimezaliwa hvyo..sipendi mahusiano ma2 at once...tx nways for da advice...
 
Last edited by a moderator:
Kumsahau kabisa haiwezekani kwakuwa tayari ana alama ndani ya hisia zako za kimapenzi, kwa kawaida huchukua si chini ya miaka miwili kuweza kuachana kabisa na mtu unayempenda sana..that's why wanasema only time can heal broken hearts...!

During that time utafanya mambo mengi mengine ya kijinga kabisa ili tu umsahau au kumuumiza hisia zake lakini mwishowe your will have to let it go... utaamka Siku moja tu na kusema inatosha then it will come to the end though sometimes with severe damage and a lot of pains

Kuna baadhi ya maneno hua hayahitaji nyongeza!
 
Lakini ushasema unampenda sana. Sasa kwaninh unataka umsahau? Are you ready to face n feel the pains of being far away from the man you truly love? I think if u really love him, the next step is to try to talk to him tenderly n observe if he's going to change or not. Keeping yoself busy wont work out kama unampenda kama unavyosema sana, ubongo utakurudishia fikra zake tu. Still insisting... ''Don't lose hope on him. Talk to him first''
 
ni kazi ndogo tu,jenga ujirani na marafiki, hasa wale wanaopenda kuchat, chat nao kila unapopata nafasi, wakiwa marafiki wa kiume ndo utaenjoy zaidi, usichague story piga nao story zote, nakuambia utamsahau tu, pia jipe ubusy kwa mambo yako, usitoe hata dk moja ya kumfikiria, pia kama unapenda mazoezi litakuwa jambo jema na kama unapenda michezo ndo muda wa kushiriki kikamilifu
 
Mimi ni msichana nimemaliza chuo mwaka huu,nina boyfriend kwa miaka 2 sasa ila amebadirika sana siku hizi,nampenda sana na sina mwanaume mwngine zaidi yake thou kwao wananijua...naombeni mnipe mbinu za kumsahau sitaki kumtegemea as future husband maana atanisumbua baadaye...plz ur help...natanguliza shukurani...

Hebu niweke sawa hapa ushamueleza kua wewe na yeye basi tena?
Naona umesema unampenda sana halafu unaomba ushauri wa kumsahau kabisa!
Hii imekaaje! anagalia usije kuja kumshtukiza akakudhuru!ni vyema ukaanza na yeye ili uwe huru zaidi.
 
Hebu jikeep bussy,,,, kama umeshapata kazi kuwa bize na kazi yako if not soma vitabu, angalia movie au shinda jf soma thread zote!!!!!!! kama una mtaji fungua biashara hata kama ni ndogo itamkufanya uwe bize,,,,,,, w'end jitoe kula kunywa utakacho.

Si rahisi kasi hicho
 
Pole sana, kwa maisha yako jifunze kusamehe na kusahau, hakuna jambo ambalo hutuliza fikra na hisia za mapenzi kama kukubali kumsamehe yule aliyekuudhi kabla hata hajakuomba msamaha na kuamua kusahau yote yaliyotokea. Yawezekana wengi mtasema haiwezekani. Inawezekana na wote waliojaribu mbinu hii walifanikiwa, lazima kila mmoja aelewe kwamba unapokasirika au kuumizwa, anayeteseka siyo yule aliyekusababishia maumivu bali ni wewe mwenyewe. Hasira au maumivu ya kimapenzi huwa kama moto mkali ambao huitafuna taratibu nafsi ya mhusika. Nakushauri samehe, ukisamehe maana yake unaupa moyo na akili yako nafasi ya kupata sehemu ya kutulia na kuuzima moto ambao tayari ulishaanza kukolea ndani yako.
 
pole lakini usijali ni kawaida baadhi ya hawa wenzetu wakishagundua wanapendwa sana

hapo uwe unajitahidi kuwa busy muda wote ukiw home usafi wa nyumba kwa sana, kuangalia movie, kusoma vitabu mbalimbali, peruzi Jf, jichanganye na rafikizo bt wenye tabia nzuri maana wengine watakupoteza, usisahau kuwa karibu na Mungu.

utazoea tu lakini lazima ujue cku za kwanza huwa inakuwa ngumu sana ila ukizoea kila kitu kinakuwa sawa
 
angalia sana pono utaweza kufaulu kuishi singo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom