Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 7,107
- 10,609
Achukue Masters za EducationWandugu, Nina jamaa yangu yuko ofisini Kama mwalimu wa shule ya Sekondari ya Kata somewhere in Mtwara region!
Anatoa huduma ya ufundishaji wa Chemistry na Biology!
Amepatwa na tamaa ya kuchukua Master degree, but hatamani kuchukua masters za Education!
Amewahi kunihoji Kama naweza kumpa maoni ya Masters gani achukue!
Najua wapo humu ndani waliopata masters kutoka bachelor ya ualimu wa sayansi, naamini wanaweza kutoa ideas kwa kuzingatia namna wao walivyopata idea ya Masters zao na walivyonufaika nazo!
Natanguliza shukrani!
[emoji120]