Nipeni mawazo ya Masters degree!

Nipeni mawazo ya Masters degree!

Weakman

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2021
Posts
1,092
Reaction score
1,702
Wandugu, Nina jamaa yangu yuko ofisini Kama mwalimu wa shule ya Sekondari ya Kata somewhere in Mtwara region!

Anatoa huduma ya ufundishaji wa Chemistry na Biology!

Amepatwa na tamaa ya kuchukua Master degree, but hatamani kuchukua masters za Education!
Amewahi kunihoji Kama naweza kumpa maoni ya Masters gani achukue!

Najua wapo humu ndani waliopata masters kutoka bachelor ya ualimu wa sayansi, naamini wanaweza kutoa ideas kwa kuzingatia namna wao walivyopata idea ya Masters zao na walivyonufaika nazo!

Natanguliza shukrani!
[emoji120]
 
Atakuwa anasoma degree ya pili na sio masters, na hiyo itamsaidia kubadilishiwa fani na sio mshahara au cheo. Serikalini kuna kitu kinaitwa re-categorization, atabadilishiwa fani kutoka kutoka fani ya ualimu kwenda fani atakayokwenda kusoma na hakutakuwa na mabadiliko ya mshahara. mfano akichukua masters ya uhasibu basi atabadilishwa kutoka ualimu daraja II kwenda uhasibu daraja II.
 
Masters ina effect kwenye taaluma..na sio bachelor degree??

Kwamba akisoma masters ya business administration atabadilishiwa muundo kuwa afisa biashara.? Na atarudishwa ngazi ya afisa biashara wa bachelor degree??

Au sijelewa kitu hapa..nieleweshe vyema.

#MaendeleoHayanaChama
 
Masters of business administration iko very wide au very geneal. haija-specify unakuwa nani baada ya kumaliza, inaweza kumsaidia kupandishwa kwa sababu haijulikani ukimaliza unakuwa nani? Lakini pia anaweza kuwa afisa biashara, Ila mfano akisoma masters ya uhasibu atabadilishwa na kuwa mhasibu, akisoma masters ya IT atabadilishwa na kuwa IT-technician, akisoma masters of law, atabadilishwa na kuwa mwanasheria. n.k. Kubadilishwa kwake itategemea na kozi atayosoma nje ya education.
 
Chem+Bios aende Mzumbe akasome Postgraduate ya Public Health, akirudi anapewa idara ya afya hapo hapo Halmashauri.
Mdanganye bila kuwa na foundation ya kozi za afya hasa MD ataendelea kua mwalimu na mph yake.

#MaendeleoHayanaChama
 
Masters of business administration iko very wide au very geneal. haija-specify unakuwa nani baada ya kumaliza, inaweza kumsaidia kupandishwa kwa sababu haijulikani ukimaliza unakuwa nani? Lakini pia anaweza kuwa afisa biashara, Ila mfano akisoma masters ya uhasibu atabadilishwa na kuwa mhasibu, akisoma masters ya IT atabadilishwa na kuwa IT-technician, akisoma masters of law, atabadilishwa na kuwa mwanasheria. n.k. Kubadilishwa kwake itategemea na kozi atayosoma nje ya education.
Mkuu hivi vitu havipo hivyo. Serikalini, foundation ni bachelor degree. Akitaka kubadili fani akasome degree nyingine. Master degree itamsaidia kwenye teuzi zinazohitaji master huko huko kwenye elimu. Kama ana GPA ya kutosha aende kufundisha vyuo.
 
Nilitaka kushangaa..masters haikubadilishii muundo bali ni degree ya kwanza ndio inakubadilishia muundo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Masters of business administration iko very wide au very geneal. haija-specify unakuwa nani baada ya kumaliza, inaweza kumsaidia kupandishwa kwa sababu haijulikani ukimaliza unakuwa nani? Lakini pia anaweza kuwa afisa biashara, Ila mfano akisoma masters ya uhasibu atabadilishwa na kuwa mhasibu, akisoma masters ya IT atabadilishwa na kuwa IT-technician, akisoma masters of law, atabadilishwa na kuwa mwanasheria. n.k. Kubadilishwa kwake itategemea na kozi atayosoma nje ya education.
Usome degree education then usome masters Law?
 
Wandugu, Nina jamaa yangu yuko ofisini Kama mwalimu wa shule ya Sekondari ya Kata somewhere in Mtwara region!

Anatoa huduma ya ufundishaji wa Chemistry na Biology!

Amepatwa na tamaa ya kuchukua Master degree, but hatamani kuchukua masters za Education!
Amewahi kunihoji Kama naweza kumpa maoni ya Masters gani achukue!

Najua wapo humu ndani waliopata masters kutoka bachelor ya ualimu wa sayansi, naamini wanaweza kutoa ideas kwa kuzingatia namna wao walivyopata idea ya Masters zao na walivyonufaika nazo!

Natanguliza shukrani!
[emoji120]
Mwambie akachukue Msc in Chemistry... atakuja kunishukuru.
 
Masters of business administration iko very wide au very geneal. haija-specify unakuwa nani baada ya kumaliza, inaweza kumsaidia kupandishwa kwa sababu haijulikani ukimaliza unakuwa nani? Lakini pia anaweza kuwa afisa biashara, Ila mfano akisoma masters ya uhasibu atabadilishwa na kuwa mhasibu, akisoma masters ya IT atabadilishwa na kuwa IT-technician, akisoma masters of law, atabadilishwa na kuwa mwanasheria. n.k. Kubadilishwa kwake itategemea na kozi atayosoma nje ya education.
Mambo hayako hivyo mkuu!
 
Mwanangu unaongea kirahisi sana kwamba akimaliza masters ya kitu fulani anabadilishwa.

hiki kitu ni kigumu sana boss unaweza kaa hata miaka 10 hujabadilishwa, kuna kipindi mshahara wako unapanda kiasi kwamba ukibadilishwa kada unarudi nyuma. Chujulia ni mwalimu Daraja I siku akipewa uo uhasibu anakua mhasibu daraja la II maana kwenye kada mpya lazima uanzie ngazi ya chini.

Af. umesema ukimaliza Masters ya IT unakuwa IT technician[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Technician na masters?
 
Unalosema upo sahihi kabisa. na akisoma masters tofuati na education basi unalosema ndilo litakalomtokea.
 
Mwanangu unaongea kirahisi sana kwamba akimaliza masters ya kitu fulani anabadilishwa.

hiki kitu ni kigumu sana boss unaweza kaa hata miaka 10 hujabadilishwa, kuna kipindi mshahara wako unapanda kiasi kwamba ukibadilishwa kada unarudi nyuma. Chujulia ni mwalimu Daraja I siku akipewa uo uhasibu anakua mhasibu daraja la II maana kwenye kada mpya lazima uanzie ngazi ya chini.

Af. umesema ukimaliza Masters ya IT unakuwa IT technician[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Technician na masters?
Kama mshaurini asome masters tofauti na degree aliyochukua halafu uone kitakachomtokea.
 
Mwanangu unaongea kirahisi sana kwamba akimaliza masters ya kitu fulani anabadilishwa.

hiki kitu ni kigumu sana boss unaweza kaa hata miaka 10 hujabadilishwa, kuna kipindi mshahara wako unapanda kiasi kwamba ukibadilishwa kada unarudi nyuma. Chujulia ni mwalimu Daraja I siku akipewa uo uhasibu anakua mhasibu daraja la II maana kwenye kada mpya lazima uanzie ngazi ya chini.

Af. umesema ukimaliza Masters ya IT unakuwa IT technician[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Technician na masters?
Akimaliza masters tofauti na degree aliyochukua atabadilishwa. Yaani kama atasoma masters ya education itamsaidia ila akisoma tofauti atakuja kujuta.
 
Masters of business administration iko very wide au very geneal. haija-specify unakuwa nani baada ya kumaliza, inaweza kumsaidia kupandishwa kwa sababu haijulikani ukimaliza unakuwa nani? Lakini pia anaweza kuwa afisa biashara, Ila mfano akisoma masters ya uhasibu atabadilishwa na kuwa mhasibu, akisoma masters ya IT atabadilishwa na kuwa IT-technician, akisoma masters of law, atabadilishwa na kuwa mwanasheria. n.k. Kubadilishwa kwake itategemea na kozi atayosoma nje ya education.

unaweza kuwa lawyer bila LL.B?
 
Back
Top Bottom