Nipeni Jibu......(Simple brain teaser)

Nipeni Jibu......(Simple brain teaser)

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,130
eti,ww ni muuza duka,kaja mteja
anahitaji kilo moja ya sukari,ila ww
una jiwe la kilo 10 na lingine la
kilo 7.
Utafanyaje apate hiyo kilo moja
anayoitaka?
 
eti,ww ni muuza duka,kaja mteja
anahitaji kilo moja ya sukari,ila ww
una jiwe la kilo 10 na lingine la
kilo 7.
Utafanyaje apate hiyo kilo moja
anayoitaka?


PIMA KILO 21 kwa kutumia jiwe la 7kg mara 3.
BAADA YA KUPATA KILO21 pima kilo 20 kwa kutumia jiwe la kilo 10 mara mbili kutoka kwenye kilo 21.
itakayobaki ni kilo 1 mpe mteja wako
 
teh teh teeh, mkuu Akhy D, hivi hizo x na y bibi pale kijijini si ataona inataka kumuibia?
Hongera mkuu derlevi2005, naona jibu lako limetulia. Mwalimu wa kusahihisha sijui kaishia wapi....??
 
Ukitaka kumficha kitu muafrika muekeee katika maandishi na ukitaka kufukuza wanafunzi watajie x na y
 
ume2koroga kidogo teacher.make an explanation on ur 4mular
Ukiambiwa 7x maana yake ni kilo Saba za sukari na 7y ni jiwe la uzito wa kilo Saba.
7x=7y maana yake kilo 7 za sukari ni sawa na jiwe la uzito wa kilo Saba na nyenginezo hivo hivo.
 
Assumption nyingine ni kupima kilo kumi mara tano then katika hizo kumi unatumia jiwe la kilo 7 kupima mara 7 (10x5=50, 50-(7x7)=1).
 
dah hzo hesabu zako zimenikumbusha mambo ya quadratic equation form2
 
Back
Top Bottom