Nipeni faraja, nimefiwa na mume wangu mtarajiwa

𝙋𝙤𝙡𝙚, 𝙉𝙖𝙨𝙞 𝙩𝙪𝙣𝙖 𝙢𝙖𝙪𝙢𝙞𝙫𝙪 𝙩𝙪𝙢𝙚𝙥𝙤𝙩𝙚𝙯𝙖 𝙢𝙛𝙖𝙣𝙮𝙖𝙠𝙖𝙯𝙞 𝙈𝙬𝙚𝙣𝙯𝙚𝙩𝙪 𝙈𝙬𝙚𝙧𝙚𝙫𝙪!!
𝙣𝙞.𝙢𝙨𝙞𝙗𝙖 𝙢𝙯𝙞𝙩𝙤 𝙎𝙖𝙣𝙖
 
𝙋𝙤𝙡𝙚, 𝙉𝙖𝙨𝙞 𝙩𝙪𝙣𝙖 𝙢𝙖𝙪𝙢𝙞𝙫𝙪 𝙩𝙪𝙢𝙚𝙥𝙤𝙩𝙚𝙯𝙖 𝙢𝙛𝙖𝙣𝙮𝙖𝙠𝙖𝙯𝙞 𝙈𝙬𝙚𝙣𝙯𝙚𝙩𝙪 𝙈𝙬𝙚𝙧𝙚𝙫𝙪!!
𝙣𝙞.𝙢𝙨𝙞𝙗𝙖 𝙢𝙯𝙞𝙩𝙤 𝙎𝙖𝙣𝙖
Poleni pia kwa msiba huo.
 
Bahati mbaya sana mpaka hapo hauko single...

pole lakini kwa msiba
 
NAJUA INAVYOUMA, POLE SANA NDUGU....NAJUA ULIWEKA MATUMAINI KWAKE KWA AJIRI YA FAMILIA YAKO ULIYOITARAJIA..ILA MUNGU AKUPE FARAJA YA MOYO WAKO UMSAHAU NA USONGE MBELE
 
Najisikia vibaya sana aliekuwa mchumba wangu amepata ajari mbaya sana na kwa bahatii mbaya amefariki.

Ajali ya pikipiki yeye pamoja na mdogo wake, mdogo ake hajitambuii
RIP Mtarajiwa, pole kwa msiba..
Ila maisha lazima yaende. Utapata mwenza tu. Ishi mama maisha mafupi..
 
Ina lilah waina ilaih rajiun pole sana mwenyezmungu amueke mahala anapostahili
 
Kwa hiyo amekufa kabla ya kudinyana au?
Pole sana anti.
Nipo tayari kuwa faraja yako katika kipindi hiki kigumu.
 
Back
Top Bottom