Nipeni dili waungwana niingize pesa

Nipeni dili waungwana niingize pesa

Upewe dili tena hivi mnafeli wapi?
Wewe njoo na ideas halafu weka kila kitu wazi na utazalisha ngapi kwa muda gani na unataka ngapi

Hapo labda unaweza kufikiriwa na baadhi ya watu wenye hela zilizolala tu bila kazi haha
Hawa ndo wale wanataka wapewe dili ya kulala maskini na kuamka tajiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashangaa anataka Dili hajui la nini kama ukuwadi sawa tu ama
Anisamehe kwa jibu kali ila wengi hawajitambui
Kwani akisema naweza kuuza mitumba ila nahitaji laki mbili nizungushe anafikiri atakosa?
😁😀😀😀😳, dogo anataka hot tips. Kazi kweli kweli.
 
Upewe dili tena hivi mnafeli wapi?
Wewe njoo na ideas halafu weka kila kitu wazi na utazalisha ngapi kwa muda gani na unataka ngapi

Hapo labda unaweza kufikiriwa na baadhi ya watu wenye hela zilizolala tu bila kazi haha
Uko sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom