Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 3,104
- 4,565
BEI Za Vifaaa na Faida yake katika kila kigaa
Nataka nianze hiyo biasharaWewe ni fundi?
Nenda maduka ya jumla utapata ABCNataka nianze hiyo biashara
KheeeeNenda maduka ya jumla utapata ABC
Hawana lolote wale wakinga walioshia la nne watakueleza nn ukiwauliza one way threw gang wanapigiana simu kumita bosi waoNenda maduka ya jumla utapata ABC
Ndio utaona bei za kununulia ili ujue utauzaje rejareja, tofauti na mtu ambaye tayari ni mdau wa installationKheeee
Sasa vifaa vya umeme inatakiwa pawe na Expert wa umemeHawana lolote wale wakinga walioshia la nne watakueleza nn ukiwauliza one way threw gang wanapigiana simu kumita bosi wao
Nitajie vifaa vinavyo lipaHawana lolote wale wakinga walioshia la nne watakueleza nn ukiwauliza one way threw gang wanapigiana simu kumita bosi wao
Kwenye umeme hata switch screw zile ndefu inalipaNitajie vifaa vinavyo lipa
Zile sa kumulikq mulikaKwenye umeme hata switch screw zile ndefu inalipa
Huko mbali, kama mtaji unafika 10m njoo tufanye kaziZile sa kumulikq mulika
All cablesNitajie vifaa vinavyo lipa
Africab hawana hizi underground cables?Kama una mtaji mkubwa nenda Dubai au China kachukue Underground cable.
Drum za:
Kuanzia 1.5mm² mpaka 150mm².
Distribution Pannel board. Za (ukubwa tofauti)
Busber Chambar (ukubwa tofauti)
Consumers unit.
Kuanzia 4ways mpaka 12way (single phase)
4way mpaka 24way (three phase).
Star Delta Starter
Direct on line starter
Contactor .
Nk.
Kama mtaji wako mdogo
Fika dukani kwetu tukupe ushauri.
Screw zinamulika mulika?Zile sa kumulikq mulika