Nipe toilet paper

Mkubwa Jalala

Senior Member
Mar 21, 2012
112
23
kunajamaa alienda dukan akase niuzie chakula cha mbwa mwenyeduka akamwambia sikuuzii hadi umlete huyo mbwa. Siku nyingine akataka chakula cha paka akajibiwa amlete kwanza huyo paka. Siku ya3 alienda na mfuko wa rambo akampa mwenyeduka muuzaduka akauliza huu mfuko wa nini mbona unanuka sana, jamaa akamjibu hiyo ni hajakubwa nipe toilet paper.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom