Nipe tofauti ya hawa polisi

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
image004[1].jpg image002[1].jpg image001[1].jpg image003[1].jpg
1.Polisi Afrika 2.Polisi Iran 3.Polisi China 4.Polisi Usa

haya kazi kwetu
 

Attachments

  • Attachments_2011_12_2.zip
    446 KB · Views: 33
Mkuu hao wa Iran na USA wapo kwenye cermonial parade hivyo mavazi hayo ni ideal na hao wa kichina wanapiga zoezi
huyo Poti hapo juu hawezi kufit kwenye parade wala zoezi.tunao wengi tu hapa kwetu including maafisa wakuu na sijui kuna kigezo kipi wanatumia kuwabakiza jeshini watu ambao Body Mass Index zao hazina uwiano unaotakiwa.hapo hata kufunga kamba za viatu ni shida sembuse purukushani za vibaka
 
Mh! Hao polisi USA ni balaa...kwanza wamevaa skuna, pili vimini vya kufa mtu!! I can't these in our bongo policewomen!! Sijui huko central police kungekuaje!! You know what Im talking about!!
Mkuu umeenda dunia nyingine ya mawazo...kama huyo jamaa anayejifanya anarekebisha kamera hapo chini yao ili apate foto za kuotea
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
hawa wanawake sio wa US labda useme Russia...anyway wachina wako kikazi zaidi, na Iran mmh..umeona jinsi wanavyo piga gwaride juu ya bendera ya US......wa AfriKa - NO COMMENT
 
Mkuu umeenda dunia nyingine ya mawazo...kama huyo jamaa anayejifanya anarekebisha kamera hapo chini yao ili apate foto za kuotea

Ukweli huu mkuu. Hivi unafahamu wazazi wengi hawapendi watoto wao wa kike wawe mapolisi? Je, ni kwanini?
 
kwasababu jeshini kila kauli na tendo ni amri halali!

Duh! Hata mimi nikipata mabinti, sitapenda binti zangu waende polisi au jeshi aisee..maana hizo amri halali kwa kila tendo zinaweza kuwa amri haramu kwa binti zangu!!
 
Back
Top Bottom