Nipe mwongozo kuhusu kozi ya pharmacy

saede mbondela

JF-Expert Member
Feb 28, 2013
368
237
Habari zenu wana jukwaa.
Kuna jambo naomba wenye utaalamu wanipe muongozo kuhusiana na ufamasia.

Mimi najianda kuingia chuo kikuu Ankara(Turkey) kusomea pharmacy, awali halikua chaguo langu la kwanza kwenda kusomea chuo kikuu lakini majibu ya s.ship yalivyorudi nikajikuta nimechaguliwa huko na kwakuwa ni full s.ship ikabidi niende tu.

Kwa wale wataalamu wanaweza kuniambia pharmacy ipo ipo vip mambo gani muhim inabidi nianze kujipanga kabisa kuanzia sasa. Na vitu kama hivyo
Note:Nilisoma PCM
 
Mkuu ulifanikiwa kuanza masomo?

Pharmacy inahitaji uwe umesoma Chemistry na Biology(hasa Advance Biology), kama ulikuwa mzuri kwa Biology ya O-level sio mbaya pia, kikubwa ni kukaza hakuna linaloshindikana.
 
Back
Top Bottom