Onduru Ogy
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 1,136
- 1,181
Mkuu hawa madada wa kizaz kipya noma sana ..usishangae mimi nilishawai kufungiwa ndani ya chumba kisa malipo baada kuvunja amri ya sita.
....hadi hapo sina hamu...
M1 kwa K moja? naah not worth that much. Ef 5 sawa!
Ef tano tena mbona kubwa. Ndoo ya maji Sh 500, sabuni ya kuoga mshindi Sh 350 mafuta ya kujipaka madogo ef 1, toyo buku 2, zilizobaki uchakav'alfu 5 aisee bora kugawa bure tu
alikukomesha siku hizi hakuna vya bure
Ef tano tena mbona kubwa. Ndoo ya maji Sh 500, sabuni ya kuoga mshindi Sh 350 mafuta ya kujipaka madogo ef 1, toyo buku 2, zilizobaki uchakav'
Nyie madada wa kizaz kipya wanafanana na kinyonga .sura yake nzuri moyo wake yamejaa majanga .aisee ndio maana wanawake wote photocopy mawazo yao photocopy awana jipya ....million moja nikupe wewe ....kwa kamoja .....Katambikie kwanza.........
Pesa kazi yake nini!!!!!!!!!
hata Aristote alishasema
[h=1]"If women didn't exist, all the money in the world would have no meaning."[/h]
alikukomesha siku hizi hakuna vya bure
M1 kwa K moja? naah not worth that much. Ef 5 sawa!
nyie madada wa kizaz kipya wanafanana na kinyonga .sura yake nzuri moyo wake yamejaa majanga .aisee ndio maana wanawake wote photocopy mawazo yao photocopy awana jipya ....million moja nikupe wewe ....kwa kamoja .....katambikie kwanza.........
sijawahi kusikia siku umeongelea positive juu ya wanawake,
ef tano tena mbona kubwa. Ndoo ya maji sh 500, sabuni ya kuoga mshindi sh 350 mafuta ya kujipaka madogo ef 1, toyo buku 2, zilizobaki uchakav'
Nami nakuuliza swali bila pesa nifanye nini....na pesa ndio nini??Na mapenz nini????
ha ha ha ha ha ha ha!!!!!!!!!!
hata wewe? lol!
hatutoelewana hapa maana unajifanya kuuliza vitu ulivo na majibu navyo tayari
ila alichokifanya huyo dada ni sawa tu na hata ningekuwa mimi ningekufanyia the same tu