Mkali Tricks
JF-Expert Member
- Aug 18, 2017
- 488
- 311
Maelezo gani tena!nisiye na mb imekula kwangu maana hakuna hata maelezo kidogo.
Ndio nini ulichoweka wengine tuna mb 50Maelezo gani tena!
INTRO >>> Utangulizi katika video.Ndio nini ulichoweka wengine tuna mb 50
[emoji120]Iko vizuri..nimeielewa sana. Big up kwa kazi nzuri
Ipo njema sana asee big up, umetumia nini kuitengeneza?MY INTRO Je ni nzuri? Nipe maoni yako.
INTRO >>> Utangulizi katika video. Kama unavyoona maybe ITV kabla ya taarifa ya habari kuanza si kunakuwa na kionjo flani hivi? Hiko kionjo ndio intro.
[emoji120] CINEMA 4DIpo njema sana asee big up, umetumia nini kuitengeneza?
Pamoja.Ningekukubali zaidi kama ungekuwa umetengeneza wewe na sio kutumia Template.