Wakuu nahitaji kiwanja Mwanza au Shinyanga au Nzega. Nakupa Toyota Gaia au Toyota Platz zote zikiwa na mwaka tangu ziingie Tanzania. Chagua gari kati ya hizo then kama kiwanja kipo vizuri nakuongeza na cash
Nipm
Dah, kuna watu huwa wanavijitabia vya kitoto sana, mtu kaleta bango lake lina maelezo ya kutosha, anakohitaji kiwanja na alichonacho cha kubadilishana....mwisho wa siku watu wanaleta story tofauti kwenye uzi wa mwenzao!