Material ya kutengeneza cement ( clinker ) imekata, hivo kiwanda kimesitisha uzalishaji.Kiwanda cha wazo kinapiga kazi mkuu
🆗 I didn't knowMaterial ya kutengeneza cement ( clinker ) imekata, hivo kiwanda kimesitisha uzalishaji.
Supplier anasema kiwanda kinatarajiwa kuanza kazi jumatanoKiwanda cha wazo kinapiga kazi mkuu
Itarudi japo kwa tabuWasiwasi wangu itarudi kwenye bei yake? Tatizo Tanzania kitu kikipanda bei kwa dharura hakishuki tena mfano sukari, mafuta ya kupikia.
hahaa uko si mtaruji kujengea matope cement ni anasa sasaBora yenu nyie kwetu nainokanoka ngorongoro cement 23,000