Nipate wapi kiasi cha pesa ninachopungukiwa?

KAPIRIPIRI

Member
May 24, 2011
31
9
Mi ni mjasiriamali, project yangu inahitaji milioni 2, tayari nina milioni 1 na nusu.Wapi naweza pata mkopo wa laki 5 za haraka kwa muda wa mwezi mmoja?
 
Au kama una account na benki yako, waandikie mchanganuo wa mradi unaotaka kuufanya na uelezee huo mtaji wako ulionao. Ni matumaini yangu ya kwamba kama ni mradi wa millioni mbili na una hizo millioni 1.5 hawatakukatalia kukupa hiyo robo unayoihitaji. Kikubwa uwe mwumini wa benki ndiyo jambo kuu wanaloangalia. Na namna utakavyojieleza hasa kuhusu huo mradi na uoneshe mtirirko wa mapato unayotarajia kuyapata kutokana na huo mradi. Kila la kheri!
 
unarudisha kwa riba ya kiasi gani hiyo laki 5???Maana yawezekana ukapata kwa mwana JF mwenzio bora tuu uzingatie masharti
 
Back
Top Bottom