Nionyesheni mradi wowote wa Samia 2021-2025

Nionyesheni mradi wowote wa Samia 2021-2025

Hakuna kitu amefanya huyu air hostess.Wengi wanakupanga na story za anaendeleza miradi ya Magufuri ambayo ilikuwa haijakamilika lakini ni ujinga tu.

Shule sijui zahanati si waziri wa fedha alisema makato tunayokatwa kila tunapofanya transactions pesa zinaenda huko? Au wameacha kukata sahivi?Sasa mtu kusema shule sijui zahanati ni miradi ya mama anakuwa anasema vitu gani? Si michango ya wananchi kwenye miamala yao hiyo?
Hapa amefanya mama Yako 😂😂👇👇

View: https://youtu.be/j1N7zhdk3jI?feature=shared
 
ndugu usichukulie pupa kwanza ungekaa ukafikiria kwanza kabla ya kuja kuandika uharo wako hapa, iko hivi, wakato mtangulizi wake anatoka aliacha miradi mingi sana ya matrilioni ya pesa alichokifanya ni kuendeleza miradi hiyo kama unavyoona sasa daraja mwanza, bwawa la umeme vyote vimekamilika kwa ufanisi mkubwa chni ya mam SSH asingeweza kuanzisha miradi mipya wakati kuna iliyoanzishwa na ujue alikuwa anatekeleza ilani ya uchaguzi hivyo punguza chuki kwa mama MITANO TENA
Lakini tuliambiwa hiyo miradi pesa tayari zipo na mtangulizi wake labda kama mradi mmoja unatengewa pesa mara mbili
 
Jikite kwenye hoja ya miradi ya Samia,hiyo miaka 60 Haikuwepo peke yake.

Kuwa na akili mradi sio takataka
Miradi ya maji takataka hiyo imejaa vijinini kote... Mradi unafsnya kaz mwez mmoja... Njoo na miradi ya maana sio huu ujinga wa miradi geresha.
 
Hiyo sio miradi hizo ni huduma muhimu kwa watu.
Sasa jamani kuna mradi ambao siyo wa huduma muhimu? Tukubali hata shule ni mradi. Hii amejenga karibia kila mkoa kuna hizi shule za wasichana kila mkoa ikiwamo Shinyanga eneo la Butengwa! Tayari imeshaanza kupokea watoto wa kidato cha 5 sasa mwaka wa pili huu. Ni shule nzuri sana!
 
Nionyesheni mradi wowote wa Samia wenye multiple effect angalau wa trion 1 alioanzisha Samia katika utawala wake pamoja na kukopa trion 50 ndani ya miaka 4!!

Huo mradi nikiuona najiunga ccm
Kosa la Mama ni kuendeleza miradi aliyoikuta. Alitakiwa apige chini na kuanzisha mipya.
 
Nionyesheni mradi wowote wa Samia wenye multiple effect angalau wa trion 1 alioanzisha Samia katika utawala wake pamoja na kukopa trion 50 ndani ya miaka 4!!

Huo mradi nikiuona najiunga ccm
Mbonq kamalizia miradi mingi tu iliyoanzisha na JPM

Mfano SGR Dar - Dodoma, sasa kaanza kivyake kuipeleka Mwanza.

Kamalizia mradi wa uzalishaji umeme wa Bwawa la Mwl. Nyerere. Sasa hivi tuna reliable power supply hadi hatujaona madhara ya ukame kwenye umeme.

Flyover maeneo mbalimbali Dar

Daraja la Busisi, barabara kibao

Katoa ajira nyingi tu sector mbalimbali za serikali, kwa walimu na afya ndo usiseme.
Kuajiri nako ni mradi ujue!

Kalipa watumishi malimbikizo ya stahiki zao na kuwapandisha madaraja, pia kaongeza mishahara. Hii yote ni miradi ujue!
 
Project ya machawa na wasiojulikana wanakuwa na pingu na landcuiser plate namba za kugushi
 
Lakini tuliambiwa hiyo miradi pesa tayari zipo na mtangulizi wake labda kama mradi mmoja unatengewa pesa mara mbili
Wajinga kama wewe msiotaka kujifunza ndionasubiria kuambiwa.

Uliwahi ona wapi eti pesa zipo zinasubiria mradi? 😂😂

Pesa inatafutwa na inapangwa kwenye Bajeti Kila mwaka na inaweza isipatikane ,mipango sio matumizi
 
Back
Top Bottom