Nionavyo; unapolaumiwa na msichana.

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Utakuta msichana ambaye huna mazoea naye ya karibu,, haishi kukulaumu, mara ooh siku hizi huoni, mara unaringa na lawama nyingine kibao. Hapo ujue umeshazimiwa, ila anashindwa jinsi ya kukuanza na anaona huna uelekeo kabisa wa kumtongoza. NAWASILISHA.
 
Halafu wanawake wa dizaini hiyo ukishaonesha kama unataka kumuapproach basi naye pozi ndo zitazidi hadi basi..!
n'wayz ndo necha yao...!
 
Tumeumbwa na aibu hivo mnatakiwa mtuelewe, hawezi kuja kukwambia anakupenda, atafanya kama hayo ili utambue mwenyewe
nilitaka kupata confirmation, bse mi naongea na kila mtu, nashangaa kuna wadada kama wanne wamenipa hizo lawama kwa nyakati tofauti
 
Tabia za kike hizo,ila ningependa aniambie ukweli kuwa Eiyer nakupenda!!
 
sasa kama humuoni asikwambie? Maana inategemea na mazoea ulomzoesha,kama ulikua unampa hi mara kwa masa,endelea usikatishe, tehtehteh
 
Ukitaka kummaliza nguvu mwambie unajikausha maksudi kwa kuwa unamtaka lakini unahofu hatakubali. Mwambie kama yupo tayari mwende muda huohuo akakupumzishe nafsi akisita tu unang'ang'ania hapo hapo. "Unaona sasa?... Nilijua hunipendi ndiyo maana nikaamua kujikausha...Poa tu kama hunipendi basi....Pengine siyo riziki yangu...Nenda kwa hao unaowaona wa maana zaidi...". Kwa kuwa si rahisi akajirahisi kiasi hicho ni wazi utakuwa umepata nafasi ya kumfanya asiendelee na ajenda yake. Yeye atadhani unamkwepa kwa kuwa alikutolea nje kumbe ni mbinu yako kukwepa vishawishi vya mademu wasiojua wanataka nini na wafanye nini kukipata.<BR>
Utakuta msichana ambaye huna mazoea naye ya karibu,, haishi kukulaumu, mara ooh siku hizi huoni, mara unaringa na lawama nyingine kibao. Hapo ujue umeshazimiwa, ila anashindwa jinsi ya kukuanza na anaona huna uelekeo kabisa wa kumtongoza. NAWASILISHA.
 
Kama unaona hawakufai achana nao, ila malalamishi ni kawaida
 
Tumeumbwa na aibu hivo mnatakiwa mtuelewe, hawezi kuja kukwambia anakupenda, atafanya kama hayo ili utambue mwenyewe

Hizi ni zama za uwazi, ukweli na usawa wa kijinsia sio lazima mwanaume tu ndiye awe mtongozaji na mwanamke awe mtongozwaji mara zote. Endapo dada kamzimia kaka fulani aweke mambo hadharani ili yule kaka naye atumie uhuru wake kukubali au kukataa badala ya kupigana vijineno vya ajabu ajabu wakati issue inaeleweka.Akina dada badilikeni kifikra.
 
kumbe! ............kuna mmoja nae amenianza siku za karibuni kunipigia cm usiku wa manane anaongea hadi panakucha, ananichombeza maneno ya kimahaba sasa ngoja nikamshuhulikie for 2 9ty!
 
Back
Top Bottom