Nafikiri si Simba na Yanga,ila walikuwa na idadi fulani ya wachezaji kati ya 3-5,suluhisho ni kusimamisha ligi.huwa ipo kwa simba na yanga na sasa hivi azam ila hawa wengine wanaendelea kucheza..
na hilo wazo lako ni zuri sana na ni endelevu..
Nafikiri si Simba na Yanga,ila walikuwa na idadi fulani ya wachezaji kati ya 3-5,suluhisho ni kusimamisha ligi.
Hata iweje timu hizi lazima zibebwe tu,ama kweli.na shida nini mkuu tff bado kale ka usimba na yanga ndio kanawasumbua wao wanafikiria matumbo yao halafu pia karibu maamuzi mengi siku yako ki siasa zaidi..
<br />Hata iweje timu hizi lazima zibebwe tu,ama kweli.
<br />
<br />
kwani nyie mlıkuwa mnataka nını?
Hiyo ndio itaifanya ligi iwe balanced.tunataka iwe kama ya ulaya inasimama pindi mashindano ya kimataifa yanapofanyika kama ili tokea wiki iliyopita. unajingine mkuu
Mkuu, lini uliwahi kusikia TFF ina kalenda ya kuendesha shughuli zake! Mambo mengi yanaendeshwa kihisiahisia tu.Hiyo ndio itaifanya ligi iwe balanced.
Ni kama genge la wasanii wanangoja mechi za Simba na Yanga wale fweza.Mkuu, lini uliwahi kusikia TFF ina kalenda ya kuendesha shughuli zake! Mambo mengi yanaendeshwa kihisiahisia tu.