Nionavyo mimi kufuatia simba vs yanga 3-3

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
NIONAVYO MIMI KUFUATIA SIMBA VS YANGA 3-3

Mechi ilikuwa nzuri kiasi kwa sababu,raha ya soka ni magoli na magoli tumeyaoga! Kiiza 2 na Ngassa 1 kwa upande wa YANGA,huku Kaze,Mombeki na Owimo wakileta shangwe upande wa MSIMBAZI.

Yanga walikuwa na mchezo mzuri kiasi kwa dk 45 za kwanza na kuweza kuongoza kwa goli 3-0.Dakika 45 za pili zilikwenda kwa simba ambao walicheza mpira mzuri zaidi kama ule tunaouona ulaya na waliweza kupasia kamba mara 3.

Kaze na Owino walifanya kazi ambayo tunaiona kila siku ulaya,mabeki ndo wazee wa kona na short piecies! Nadhani kocha wa Yanga aliwafundisha mabeki kumkaba TAMBWE TU na hilo ndo tatizo!

Kutoka ndani ya moyo wangu,nawapongeza sana simba.What a come back!! Asante sana Israel Mkongo refa umeonyesha kweli una baji ya FIFA!

wachezaji wa Yanga hawajaitendea haki timu yao na wanastahili kukatwa mishahara ya miezi miwili sababu walifanya uzembe wa karne

kipindi cha pili sub ya kuingia william galas na said ndemla ndipo turning point ya game ilipoanzia,simba waliposes mpira,yanga wakapotea ndemla akatawala dimba pressure ikawa kubwa kwa yanga

nasikia dirisha dogo usajili wa simba ni Okwi na Oloya sipati picha striking force itakuaje nadhani yanga next derby atakula za kut

I'm sorry
 
Umeandika kiunazi Kisimba kisimba zaidi Edo Kumwembe
 
[h=5]Cyprian Majura Musiba wrote
[/h][h=5]YANGA MAJANGA TU,IMEFIKIA WAKATI SASA TUSAJIRI WACHEZAJI WENYE MAHABA NA YANGA,HAWA TUNAO OKOTEZA MITAANI NA KUTOKA SIMBA WANATUGHARIMU SANA,LAKINI PIA YANGA IRUDISHE UTARATIBU WA KUWA NA TIMU B IMARA KAMA ZAMANI TUKAWAPATA WAKINA MKWASA NA WENGINE,WALE VIJANA WA SIMBA WALIOTULAZIMISHA SARE WAMETOKA TIMU B NA WANA MAHABA NA SIMBA YAO..YUSUF MANJI NA WENZAKO HUU NI MPIRA SIYO BIASHARA,KAMA UMESHINDWA KUWA HATA NA TIMU B UNDER 17,15 IMARA NA BORA NI WAZI HUNA JIPYA,ENDELEA NA BIASHARA YAKO TU LAKINI YANGA HUNA UWEZO NAYO KAMA WALIOPITA..KAMA VIPI TUPISHE TU KAMA HUNA PLAN ZA KULETA MAGEUZI NA MAENDELEO YANGA,KWANI YANGA TUNAHITAJI USHINDI,PILI MAENDELEO KWA MAANA YA VITEGA UCHUMI,TUMECHOKA MANENO YA KUWAHADAA WASIOJUA MAANA HALISI YA MAENDELEO NDANI YA YANGA NA USHINDI..

LEO KAMA TUNGEKUWA NA WACHEZAJI WENYE MAPENZI MEMA NA YA DHATI NA YANGA SIMBA WANGEFUNGWA MABAO 9 KIPINDI CHA KWANZA,LAKINI WACHEZAJI WALEWALE WALIOTUFUNGISHA MABAO 5-0 NDIO HAOHAO LEO WAMEWASAWAZISHIA SIMBA,HALAFU NGASA ANATOKA UWANJANI ANACHEKA ------- KABISA,MCHEZO WA HESHIMA NA REKODI WEWE UNACHEKA WAKATI SISI WASHIKADAU TUNAUMIA,,YANGA TUNAHANGAIKA NA BAO 6 ZA MWAKA 1977 NA TANO ZA MWAKA WA KARIBUNI..

WANACHAMA WA YANGA PIA TUBADILIKE TUACHE KUDANGANYIKA NA MANENO NA CHAI KAMA TUNATAKA YANGA IWE BORA NA USHINDI,,UKWELI MMENILAZA HOI BIN TAABAN WACHEZAJI MAMLUKI WA YANGA.
[/h]
 
Hapo sasa unazi uko wapi ?
Amechambua tena vizuri sana kwa timu zote mbili. bila kupendelea.

namshangaa hata mimi, uchambuzi upo fair and unbiased, aseme basi unazi upo katika sentesi ipi
 
Hili Gamba bado linaweweseka kupigwa chini kwenye kura za maoni CCM. Sada yeye Musiba ana jipya gani!! Pimbi tu.
 
Umeandika kiunazi Kisimba kisimba zaidi Edo Kumwembe

Ushabiki pembeni,uwe unaonge mpira hata kidogo TIQO !

Yanga hii game mlitakiwa kuimaliza mapema sana,ila utoto wa wachezaji wenu kutaka kucheza na jukwaa umewaponza,mlikuwa na uwezo wa kufunga zaidi ya goli 4 katika kipindi cha kwanza,mkiendelea na mbwembwe ambazo hazina msingi mnapoongoza katka CL itawacost sana
 
Last edited by a moderator:
Hili Gamba bado linaweweseka kupigwa chini kwenye kura za maoni CCM. Sada yeye Musiba ana jipya gani!! Pimbi tu.

Hii ni tofauti kati ya mchambuzi aliyecheza soka na mchambuzi mwandishi wa habari
HALF TIME Ally Mayai alisema ''simba inaweza kurudisha magoli kama watarisk beki mmoja apande mbele ili washambulie wapate hata consolation goal
Edo Kumwembe akasema''simba inabidi wacheze deffensive game ili wasifungwe mengi zaidi na maana sioni kama simba wanaubavu wa kurudisha ''

sasa nimejua kwanini ili uwe mchambuzi supersport lazima uwe umecheza mpira wa kiushindani
 
Young wanafuga majoka pale na watatugharimu sn!! Wachezaj 4 ktk first eleven na wawili bench wote wamecheza simba!! WAMETUGHARIMU, WANATUGHARIMU NA WATAENDELEA KUTUGHARIMU.mwombek's goal two central defenders wanakwenda kumkaba striker mmoja,tackle ya nadir inakuwa pas kwa mwombek,anapress akiwa kwenye edge ya 18yars!!km keeper hakufanya makosa bas that was world class finish!! owino's goal,poor defending but km keeper aliweza gusa mpira ambao mfungaj hakuupeleka far post km ambavyo wanapaswa kufanya!! tumefungwa sababu keeper mfup au??kaze's goal no problem with the goalkeeper but there's in defenders!!
 
well said sir!!!!
 
Yanga walikuwa na mchezo mzuri kiasi kwa dk 45 za kwanza na kuweza kuongoza kwa goli 3-0.Dakika 45 za pili zilikwenda kwa simba ambao walicheza mpira mzuri zaidi kama ule tunaouona ulaya na waliweza kupasia kamba mara 3.

Hapo sasa unazi uko wapi ?
Amechambua tena vizuri sana kwa timu zote mbili. bila kupendelea.

Ndo unazi wenyewe huo
 
Wachezaji wa kitanzania bado wana safari sana,game ya jana Yanga walikuwa wamalize mechi kipindi cha kwanza waliingia kipindi cha pili wakiwa wanaamini mechi imeshakwisha tofauti na Simba ambao walifungwa magoli ya kizembe sana wa mabeki wa kati (Kaze na Owino) ,kwenda half time kuliwasaidia sana na naamini makocha waliwaeleza uzembe waliofanya na kipindi cha pili walirudi na kurudisha magoli kumbuka Kaze na Owino ndio walirudisha magoli ya Simba.
Ukiangalia wachezaji waliocheza vizuri jana wote ni wa nje (Tambwe alitengeneza goli la kwanza,Kaze na Owino walifunga) kwa Yanga Kavumbangu alisaidia kutengeneza magoli mawili,Kiiza ambaye alifunga magoli mawili
Wachezaji wa kibongo angalau Ngasa na Mkude ndio angalau walionyesha kiwango
 
mpira wa jana ulikuwa mzuri sana,Yanga kipindi cha kwanza walipiga kabumbu matata mpaka nikahisi tano zinarudi na kuongezwa mengi zaidi.Kipindi cha pili Simba walirekebisha makosa yao na kujituma kutafuta magoli na wakayapata.kilichowaponza yanga ni kujiona wamemaliza kila kitu,wachezaji walianza kucheza na jukwaa,mbwembwe nyingi mwisho wa siku ikawaponza.

Upande mwingine mashabiki na viongozi wa timu hizi mbili waache/tuache uzumbukuku wa kumtafuta mchawi kwa matokeo mabovu,angalieni makosa gani yaliwagharimu kiufundi ili mrekebishe na si kusema fulani kanunuliwa sijui katokea simba,mkifanya hivyo mbali hamtafika siku zote.

Bravo simba sports club

MBEYA CITY FO STAND UP......KUTOKA DARAJA LA KWANZA MPAKA UBINGWA VPL.
 
[h=5]Cyprian Majura Musiba wrote
[/h][h=5]YANGA MAJANGA TU,IMEFIKIA WAKATI SASA TUSAJIRI WACHEZAJI WENYE MAHABA NA YANGA,HAWA TUNAO OKOTEZA MITAANI NA KUTOKA SIMBA WANATUGHARIMU SANA,LAKINI PIA YANGA IRUDISHE UTARATIBU WA KUWA NA TIMU B IMARA KAMA ZAMANI TUKAWAPATA WAKINA MKWASA NA WENGINE,WALE VIJANA WA SIMBA WALIOTULAZIMISHA SARE WAMETOKA TIMU B NA WANA MAHABA NA SIMBA YAO..YUSUF MANJI NA WENZAKO HUU NI MPIRA SIYO BIASHARA,KAMA UMESHINDWA KUWA HATA NA TIMU B UNDER 17,15 IMARA NA BORA NI WAZI HUNA JIPYA,ENDELEA NA BIASHARA YAKO TU LAKINI YANGA HUNA UWEZO NAYO KAMA WALIOPITA..KAMA VIPI TUPISHE TU KAMA HUNA PLAN ZA KULETA MAGEUZI NA MAENDELEO YANGA,KWANI YANGA TUNAHITAJI USHINDI,PILI MAENDELEO KWA MAANA YA VITEGA UCHUMI,TUMECHOKA MANENO YA KUWAHADAA WASIOJUA MAANA HALISI YA MAENDELEO NDANI YA YANGA NA USHINDI..

LEO KAMA TUNGEKUWA NA WACHEZAJI WENYE MAPENZI MEMA NA YA DHATI NA YANGA SIMBA WANGEFUNGWA MABAO 9 KIPINDI CHA KWANZA,LAKINI WACHEZAJI WALEWALE WALIOTUFUNGISHA MABAO 5-0 NDIO HAOHAO LEO WAMEWASAWAZISHIA SIMBA,HALAFU NGASA ANATOKA UWANJANI ANACHEKA ------- KABISA,MCHEZO WA HESHIMA NA REKODI WEWE UNACHEKA WAKATI SISI WASHIKADAU TUNAUMIA,,YANGA TUNAHANGAIKA NA BAO 6 ZA MWAKA 1977 NA TANO ZA MWAKA WA KARIBUNI..

WANACHAMA WA YANGA PIA TUBADILIKE TUACHE KUDANGANYIKA NA MANENO NA CHAI KAMA TUNATAKA YANGA IWE BORA NA USHINDI,,UKWELI MMENILAZA HOI BIN TAABAN WACHEZAJI MAMLUKI WA YANGA.
[/h]
Kwahiyo ingetokea Yanga ameshinda, angeongea ujinga huu? Alafu anajiita mdau wa soka , Ivi soka ni kushinda tu? tuna safari ndefu kama wa TZ ktk kuyafikia maendeleo ya soka .
 
tuna safari ndefu sana
 
Back
Top Bottom