Jospina
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,421
- 1,395
- Thread starter
- #21
mpira wa jana ulikuwa mzuri sana,Yanga kipindi cha kwanza walipiga kabumbu matata mpaka nikahisi tano zinarudi na kuongezwa mengi zaidi.Kipindi cha pili Simba walirekebisha makosa yao na kujituma kutafuta magoli na wakayapata.kilichowaponza yanga ni kujiona wamemaliza kila kitu,wachezaji walianza kucheza na jukwaa,mbwembwe nyingi mwisho wa siku ikawaponza.
Upande mwingine mashabiki na viongozi wa timu hizi mbili waache/tuache uzumbukuku wa kumtafuta mchawi kwa matokeo mabovu,angalieni makosa gani yaliwagharimu kiufundi ili mrekebishe na si kusema fulani kanunuliwa sijui katokea simba,mkifanya hivyo mbali hamtafika siku zote.
Bravo simba sports club
MBEYA CITY FO STAND UP......KUTOKA DARAJA LA KWANZA MPAKA UBINGWA VPL.
ni kweli kabisa mkuu