Niombeeni mwenzenu


tafuta mwanaume akugegede upunguze migenye hiyo mama kwani ndio inayokusumbua ni PM nijekukuliwaza sasa mama enhee...
 
Hehe sasa kama unasikia raha is uendelee naye wwe hutaki raha heheheh marahAaaa
 
tafuta mwanaume akugegede upunguze migenye hiyo mama kwani ndio inayokusumbua ni PM nijekukuliwaza sasa mama enhee...


Ndugu yangu acha masikhara nisaidie niondokane na hili tatizo mwenzio
 
hahaha Husninyo banah! Hii ilishanitokea yan unakua kwenye tendo kabisa ila sura ya mwanaume ndo inakua haionekani..ila mimi njia niliyotumia kukabiliana na hyo hali ni tofauti kidogo.....anyway Mungu akulinde..

vipi dushelele lake unakuwa unaliona? dah, msaidie mwenzio nahisi hafurahii hayo makitu.
 
tuheshimiane kijana. nani zombie?
 
sasa kwanini wataka kimbia maraha wewe?


Nimemchoka nataka kuwa na mtu ninayemuona kwa macho, tunaongea sasa mtu humuoni kazi yy ni usiku tu huna hata muda wa kuongea nae ndo mambo gani hayo,yaani nimechoka ww ningekuwa na uwezo wa kumshika huyo mtu nikakuletea ww angalau unisaidie kukaa nae hata kwa siku mbili ningepumua
 

wewe shindwa na ulegee!
pole swahiba, piga sala kama ulivyoshauriwa au kama unaweza kupata tiba za kina mzizimkavu fanya hivyo. pole sana.
 

tupia hayo maelezo mengine hapa huko PM wengine hatutafaidi
 
pole sana usichoke kumwomba mungu wako ndiye atakayekutoa kwenye kifungo
 
99% NI JINI MAHABA
1% ISIJEIKAWA NI NDOTO KUTOKANA NA MAWAZO YA KUTAMANI SANA KUJIGJIG

kama wewe ni mkristo kimbilia kwa Yesu bila hivyo halitoki maombi peke yake hayatoshi kumuondoa jini mahaba, hayo madude yanasumbua watu wengi hata wake za watu au waume za watu yana haribu uchumi wa mtu sana yanauwezo mkubwa wa kukutia mikosi na balaa za kila siku hata kukuletea mauti ukiwa bado kijana mbiiiichi kabisa. mkimbilie Yesu bila kusita
 
pole sana dada yangu, hilo ni jini mahaba na tena usipowahi kuchukua hatua litafunga harusi na wewe baada ya hapo utaona wanaume kama hawawezi chochote zaidi ya hilo jini, fanya maombi sana pia soma Filipi 4:6-7, naomba jina lako niweze fanya maombi pamoja nawe.
 



Ahsante mkuu
 

Pole sana mrembo!
 
Jini mahaba dawa yake ni kwenda kanisani kufanyiwa maombi.kabla ya maombi utaongozwa sala ya toba ili ukiri midhambi yako,hapo unakuwa tayar umeengunishwa na Mungu,kinachofuata ni maombi ya kuchoma moto jini lilikupata kwa njia ya njozi itakuwa hivi "kwa Jina la Yesu Kristo tunakuamuru wewe jini mahaba tokaaa,kwa Moto ya Roho Mtakatifu tunakuchoma uchomeke hapo lazma liage mbele ya Yesu hakuna jini wala lusifa lazma lichomeke ila lazma uamini kwamba utakombolewa,na baada ya kuombewa,uache dhambi zote km uzinzi,uongo,fitina nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…