habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,788
- 8,755
- Thread starter
-
- #21
Sasa siku ukikutana na dume la kibinadamu si utamuona hana lolote..??? Mi nakushauri baki naye hawa wengine fanya kuzaa nao tu
nenda ukafanyiwe maombi ,,,, anaweza kuwa jini mahaba anakukula
Mama wee nimshaombea na nimezunguruka makanisa hadi nimekata tamaa
kuna mtu anaitwa MZEE WA YESU nimeenda kwake weee lkn wapi
cjui nifanye nini
Mkuu vip tena nibaki nae kivip, me cmtaki angekuwa ananipa pesa sawa sasa yy hanipini hata riziki wanini
Binamu nikiwa nae namuona km kituko fulani hiv, ameniwekea roho ya kutowapenda cku hiz
aisee spiritual husband (mume anaekaa kihalali) au jini mahaba
ngoja nimalize kazi hapa nitarudi mpendwa ucogope
khaaaaa!!!!! hivi wanawake na pesa kutoka kwa wanaume ni nini hasa?........... tena kama hapo wewe utakuta ni mfanyakazi au mfanyabiashara mwenye kipato cha kutosha tu...........
hapana iman yake ipo kwenye maombi..aendelee kusali kwa imani na kuondoa hofu ndan yake...
samahani kidogo, ukifanya nae huwa unaskia raha?
hahaha Husninyo banah! Hii ilishanitokea yan unakua kwenye tendo kabisa ila sura ya mwanaume ndo inakua haionekani..ila mimi njia niliyotumia kukabiliana na hyo hali ni tofauti kidogo.....anyway Mungu akulinde..
Kwa maombi yenu nitasimama, kwa maombi yenu nitafanikiwa na kwa ushauri wenu nitapona, poleni na majukumu yenu ya kila siku.
Mwezenu leo inabidi niseme kwani hii hali imenichosha sana, takriban miaka mitatu sana nikilala usiku kuna mtu huwa anakuja na kufanya mapenzi na me, mwanzoni nilidhani ni hali tu ya kawaida lkn inanistua kwani kwa sasa hiv amekuwa akija mara nyingi zaidi, mbaya zaidi ni kwamba nikimuona mwanaume namuona km mtu anayetisha. Hii ni kitu gani jamani hebu nisaidien sina raha kabisa!!
Hiyo niia uliyotumia kupambana na hiyo kitu fanya kuiweka hadharani au fanya ku-PM mwenzio asije akabebeshwa uja uzito kabisa