habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,788
- 8,755
Kwa maombi yenu nitasimama, kwa maombi yenu nitafanikiwa na kwa ushauri wenu nitapona, poleni na majukumu yenu ya kila siku.
Mwezenu leo inabidi niseme kwani hii hali imenichosha sana, takriban miaka mitatu sana nikilala usiku kuna mtu huwa anakuja na kufanya mapenzi na me, mwanzoni nilidhani ni hali tu ya kawaida lkn inanistua kwani kwa sasa hiv amekuwa akija mara nyingi zaidi, mbaya zaidi ni kwamba nikimuona mwanaume namuona km mtu anayetisha. Hii ni kitu gani jamani hebu nisaidien sina raha kabisa!!
samahani kidogo, ukifanya nae huwa unaskia raha?
Nadhani hii hali wanawake wengi wanakubwa nayo....anyway msaidie njia uliyoitumia hata kwa pm ili naye ajikomboe kwenye huo utumwa....hahaha Husninyo banah! Hii ilishanitokea yan unakua kwenye tendo kabisa ila sura ya mwanaume ndo inakua haionekani..ila mimi njia niliyotumia kukabiliana na hyo hali ni tofauti kidogo.....anyway Mungu akulinde..
samahani kidogo, ukifanya nae huwa unaskia raha?
unaye mume???
Nadhani hii hali wanawake wengi wanakubwa nayo....anyway msaidie njia uliyoitumia hata kwa pm ili naye ajikomboe kwenye huo utumwa....
Raha yake ni zaidi ya binadamu
Raha yake ni zaidi ya binadamu
Hata ww ulishawahi kukukumba
Nadhani hii hali wanawake wengi wanakubwa nayo....anyway msaidie njia uliyoitumia hata kwa pm ili naye ajikomboe kwenye huo utumwa....
Raha yake ni zaidi ya binadamu