Hi,
Iam a mother of 2kids, usiku mmoja mtoto wetu mchanga alilia sana 4 2hrs, ajabu babae kaangalia 2, nikamuuliza kwanini hana huruma kiasi hicho? Mwanae analia hajali anamaanisha nini? hadi mtoto mkubwa(3yrs) aliamka, alinyanyuka kitandani, akaninyakua mtoto akamweka kitandani kisha akanizaba makofi nikaweweseka, nakulia sana, kwahasira nikamwambia naweza nikakuachia mtoto kitandani nikalale sebuleni.
Akaniambia ondoka uone kama sitaweza, roho iliniuma maana mtoto anahitaji msaada yeye analeta ugomvi, tukajibishana usiku huo, sasa ni 2weeks hakuna mawasiliano, nimemwomba anisamehe uenda mi ndio mkosaji, kaniambia tuendelee kulea tu watoto ila mahusiano yetu basi, nikishindwa niondoke.
Sio mlevi nimkorofi, mbinafsi nambishi, kibaya zaidi watoto nahudumia mwenyewe 90% yeye anahudumia nduguze tu, nikilalamika anadai nawachukia nduguze, nifanyeje? Nishamshitakia sana kwa Wakwe kwamambo mengi hadi naona nawakera siishi kumlalamikia kijana wao, Wakwe wanashauri nimvumilie tu eti nimkorofi, je nikae tu kama house keeper?