Niokoeni Mwenzenu Napotea

Niokoeni Mwenzenu Napotea

Shangazi Mr.wako wa huko nyumbani na Mr.wako wa hapa JF(STUNTER) wanakusalimia sana!🙂🙂........mimi ni mjumbe tu ambae wamenituma nikuletee hizo salama!

Nawasilisha![emoji30][emoji30] [emoji30]
Bebe rafiki utaacha lini ugomvi lakini??[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Enzi hizi bado unawaza wanawake aisee
 
mkuu,sample hizi vipi,huwa hazikudatishi?
Aka kadem kama nakafaham
Ni mtu wa tanga,kafupi
Kanakaa Kigogo uku DSM
Kalikuwa kananipenda sana sema2 sipendagi kudate na mtu anaetegemea umuoe
5143949f6de7c36ebc77a6e16d8e7b0e.jpg
 
Na wao wanakupenda au upendo upo upande mmoja tu??
 
Kila mtu iwe me/ke anavutiwa na mtu wa jinsia tofauti kwa aina anayoitaka yeye, wadada wengine wanapenda wanaume warefu, wengine wanapenda wanaume weusi, wengine wanapenda wanyanyua vyuma, vivyohivyo na kwetu pia wanaume tunapenda wanawake wa aina tofauti na chaguzi hizi huenda zikabadilika as age goes kama ilivyotokea kwako, hivyo basi hakuna tatizo kwako wala hakuna shida kwako ndugu ni kawaida tu kuwa na amani kabisa na huwatokea wengi, binafsi nilikuwa napenda blacks ila sasa napenda weupe, so haina shida mkuu,
 
Dalili za kwamba umekua kulingana na rika lako
 
Back
Top Bottom