alumn
JF-Expert Member
- Jul 15, 2018
- 2,370
- 3,165
Habari ndugu, nashukuru sana kwakuonesha ujasiri wa kuleta hii mada. Bila shaka utapata mawazo mawili matatu hapa jamvini.
Nimevutiwa sana na swala lako maana lipo complex sana lakini linaweza kutatuliwa kwakutumia sayansi ya hesabu. Kwenye hii case nimeamua kutumia "Prisoner dilema theory" maana inaweza kutusaidia kufahamu mahusiano yenye afya au mahusiano ambayo wewe na mmoja wa msichana mtakuwa na furaha.
Baada ya kusoma swala lako, nimegunduwa vitu vitatu vya msingi kama ifuatavyo
a) Dini
b) Furaha ndani ya ndoa
c) Mtoto
Kila kitu hapo juu nimekipa maksi au weight ya 1
View attachment 939851
Ushauri
Kama unavyo ona hapo juu unatakiwa kuoa msichana number 2 ambaye Kabila lake ni muiraq na dini mkristo. Hii ni kwasababu number 2 imefanikiwa kupata maksi au points za juu 3/3 kuliko sehemu yoyote ile kwenye chart.
Samahani kiswahili changu hakipo vizuri sana nitaomba radhi kama nitakuwa nimekosea kuandika sehemu yeyote.
Asanteni.
Mkuu source ya theory hiyo hujaiweka