Nioe yupi kati ya hawa

Nioe yupi kati ya hawa

Kwanza niseme Asante kwa ushauri wako mkuu wenye uchambuzi wa kina,
Pili nimeusoma na kuelewa vyema,nimetafakari pia na baadhi ya ushauri niliopewa na wengine nafikiri namba 2 ndio mtu sahihi kwangu natumai kuufanyia kazi ushauri huu bila kikwazo,

Ninachoshukuru kwa sasa ni kwamba nimetua mzigo mzito uliokuwa moyoni mwangu wa kufikiri yupi ni mtu sahihi kwangu hakika JF is the place where we dare to talk openly
wewe una IQ kubwa sana yani zero IQ means wewe ni intelligent...unajua kwa nini...kwa sababu umepokea vizuri ushauri wote wa JF ambao unajuw unakuja kwa sura mbili..masihara na kumaanisha au ya kejeli na ya faraja yani haijalishi wamejibu nini ila umeweza kupokea na kujibu ...GOOD
 
We kweli ni zero IQ.
Mwanamke umeshazaa nae afu unawaza kama umuoe au uache!?
 
Back
Top Bottom