Nioe mwanamke aliye zaa?

ucpende kuhukumu kwa usichokijua waweza kuta alibakwa au ndo wanaume uchwara wamemwaribia maisha tusipende kuweka fallacy conclusion mi ni mwanamke na wanayotendea wanawake na baadhi ya wanaume yananikera sana ya kuwapa ujauzito na kuwatelekeza halafu vilaza wengine wanaongea ***** tu.

Whatever the case, as long as amezaa, she does not qualify to be married by a non married man. I also sympathize with you to what some stupid men do to our daughters. Anyway sometimes ni suala la mila. mila zingine kuoa mwanamke aliyezaa ni laana, I will never opt for one. Ma Dou dou, pole sana seems you are a victim of these unprincipled men. by the way, Vilaza ni nini dada?
 
the man amewahi kuoa bt the wife died,coni ubaya kwa hawa wawili kuanza maisha mapya, history zao zinaendana kwa kiac fulani mie naona wanamatch,what matters ni true love,kuheshimiana na amani..
 
angalia asijekua anataka kukutumia ww kama ngao yake mana kuolewa siku izi imekua kama fashion......ili tu naye aonekane ktk jamii kaolewa......pili angalia why kakaa miaka mi3 after birth bila kuolewa au mtu(mpenzi) isije ikawa anamuacha baba watoto wake na kukubali kuolewa na ww kisa kamuona yule sio muoaji ila anampenda yule na sio ww hapo........utamlelea mtoto bure akikua sasa ataitaji divorse then mtagawana mali zote mana ni mkeo wa ndoa ..........mchunguze sana mana wanawake wamekua wajanja sana siku izi wako after something( just saying) si maanishi huyo yuko ivo
 
the man amewahi kuoa bt the wife died,coni ubaya kwa hawa wawili kuanza maisha mapya, history zao zinaendana kwa kiac fulani mie naona wanamatch,what matters ni true love,kuheshimiana na amani..
umenena vema hapo ktk red
 
mara nyng wanawake ambao hawajazaa hawajui uchungu wa mwana, ni vizuri kuwa na mwanamke aliezaa bkoz ana ujuz wa kulea, so sion tatizo la kuoa mwanamke aliezaa
 
Whatever the case, as long as amezaa, she does not qualify to be married by a non married man. I also sympathize with you to what some stupid men do to our daughters. Anyway sometimes ni suala la mila. mila zingine kuoa mwanamke aliyezaa ni laana, I will never opt for one. Ma Dou dou, pole sana seems you are a victim of these unprincipled men. by the way, Vilaza ni nini dada?

Mi si victim kaka ila wanaonizunguka ndo victim inaniuma sana vilaza ni watu wasiojua chochote mi nawachukulia kama watu wasio na upeo wa kufikiri
 
Oa if she is good 4u,wewe ndiye unayemjua na umewahi kumwona,hapa jf tunachangia tu,but the true picture of the one's u wish to marry unayo wewe.
 
the man amewahi kuoa bt the wife died,coni ubaya kwa hawa wawili kuanza maisha mapya, history zao zinaendana kwa kiac fulani mie naona wanamatch,what matters ni true love,kuheshimiana na amani..

This makes sense!!! Wote walishaoa, hivyo ni vyema. Lakini kwa kijana/msichana mbichi kuolewa/kuoa mtu aliyekwisha olewa/oa si vyema.
 
Mi si victim kaka ila wanaonizunguka ndo victim inaniuma sana vilaza ni watu wasiojua chochote mi nawachukulia kama watu wasio na upeo wa kufikiri

Wote inatuuma maana tuna dada zetu/wapendwa wetu etc wamefanyiwa hivyo!!! Ma DouDou, nadhani hakuna mtu asiyejua chochote duniani, ila kila mmoja na uwanja wake. Nilipokwenda kijijini niliwakuta watu wa vijijini wanaongea mambo makubwa mazuri ambayo nilikuwa mbumbumbu pamoja na ka elimu niliko nako.
 
Huyo mwanamke kama alizaa na mtu mwingine je huyo mwanaume yuko hai? na kama yuko hai ni nini sababu za wao kutokuwa pamoja? hapa mjomba unaingia choo kike, ni ngumu sana watu kuyagunduwa makosa haya hasa ukiwa tayari umeshaonjeshwa tunda la katikati.

Hivi pata picha siku huyo binti yake siku anaolewa sasa mpo kwenye shereha za harusi halafu pale mbele high table mke wako anakaa na mwanaume mwingine maana ndio baba mzazi wa huyo binti!......kuna fedheha nyingine huwa tunazitafuta wenyewe.

Mkuu umefikiri mbali sana, naungana na wewe kwa sehemu. Ila ki ukweli, ukiwa na upendo wa dhati, busara itakuongoza kupambana na difficult situations kama hizi ....
 
Kwanza pole sana kwa yaliyo kutokea.

Pili hakuna binadamu asiye na mizigo.
Kwa kusema hivyo hakuna mtakatifu.
Huyo Dada atakuwa kapitia mengi maishani .
Na we pia hivyo hivyo. Ndo maisha hayo.

Tatu kila mtu atakuja na opinion tofauti hapa
nyingine Nzuri nyingine za kukata maini lakini
Mwisho wa siku you have to dig deep na kuangalia je unampenda na je uko tayari kuwa
Na mtu mwingine maishani papo hapo unaangalia pia na mwana atafurahi kuwa na mama mwingine? ...

Mwisho kabisa sisi ni binadamu tu. Kwa hiyo
Tunaweza Kukupa ushauri wetu hapa lakini
Ukweli wa mambo hatujui kesho patakuwaje.
Kwa hiyo kama huyu dada anakufanya uwe na
Furaha na amani fulani moyoni kila ukiongea
Au kukutana naye ... ushauri wangu ni anza
mdogo mdogo tu you never know labda ndo
Soul mate wako. .. trust your instincts :)
 
Back
Top Bottom