Nioe Kabila gani?

Nioe Kabila gani?

Wakati nikiwa nimeelewa somo kutokana na majibu ya wadau hapa, jana nimekutana na changamoto nyingine tena wakati naongea na rafiki zangu wa karibu amabo bado wanasisitiza kuwa kuchagua kabila la kuoa ni suala muhimu na lisilokwepeka. Narudisha tena mjadala jamvini ili tuweze kuwekana sawa zaidi. Asanteni kwa wale watakaopata moyo wa kuchangia kwa dhati
 
Achana na hayo mawazo mgando bana, kabila halifanyi mke au mume kuwa mwema...
Mwombe Mungu akuongoze upate mwenzi mwema maana nyakati tuishimo ni tata sana ndugu yangu!!!

umesema yote big up!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom