Maria Roza
JF-Expert Member
- Apr 1, 2009
- 6,797
- 1,567
Oa kabila lolote ndugu ila ukioa mzaramo ahh huyo kila siku yupo ngomani utajuuutaaaaaaaaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bht dada, kwani nimekosea kuuliza? unajua karne wazee wanasema haiondoi asili, ila hapa nimeanza kujifunza sasa
Nitashukuru huu upofu ukinitoka ila kuna member kanitumia PM kaniambia cha muhimu kuliko yote ni kusali na kumwomba MUNGU anipe mke mwema kwani vinginevyo nitachagua makabila hadi nitazeeka. AsanteniUsijali ICU, hapa ni kutenda miujiza kwa watu blind kama wewe. Hesabu tatizo lako limekwisha. Oa mhaya, mzanaki, mchaga au kutoka makabila yote matatu. Zingatia ushauri huu.
KM, nataka mke mwemaWewe unataka kabila au mke mwema?
Samahani bht kwa kukwazika, kusema kweli haikuwa nia yangu kuwakwaza wale wasiopenda kuzungumzia makabila. Lengo langu ni kuondoa wasiwasi niliokuwa nausikia kwenye suala la kuoa kutoka katika baadhi ya makabilamie ni mmoja wa wanaokwazwa sana na hili swali la kabila gani, frankly speaking ila vizuri ujue mke mwema kwako ni yupi.....(na si kabila gani)
usijali my dear kila siku tunajifunza na nimefurahi kuona mwitikio wako kwa majibu unayopata.
goodluck ICU
huu ndio wasiwasi niliokuwa nao kabla ya kuanzisha mada hiiOa kabila lolote ndugu ila ukioa mzaramo ahh huyo kila siku yupo ngomani utajuuutaaaaaaaaaaaaa
Samahani bht kwa kukwazika, kusema kweli haikuwa nia yangu kuwakwaza wale wasiopenda kuzungumzia makabila. Lengo langu ni kuondoa wasiwasi niliokuwa nausikia kwenye suala la kuoa kutoka katika baadhi ya makabila
KM, nataka mke mwema
Ukweli kabisa nimepata PM ya pili ikinitaka kufanya hivi kama alivyonishauri KM. Asanteni sana walioniPM na wengine woteMke mwema hutoka kwa mungu. Piga magoti, mwombe mungu akupe kilicho chema.
Binafsi nakushauri uoe yeyote tu mradi mnapendana kwa dhati(unampenda naye akupenda),pia mwenye tabia njema(maana uzuri wa mwanamke ni tabia bana si sura(hata kwa mwanaume pia uzuri wake ni tabia)......)......Ukishindwa kabisa njoo Sukumaland utampata huyo mke mwema(kama bado utakuwa na kasumba ya kuangalia kabila)....
Asante bht, nimeamini kuwa MUNGU atafanyaAchana na hayo mawazo mgando bana, kabila halifanyi mke au mume kuwa mwema...
Mwombe Mungu akuongoze upate mwenzi mwema maana nyakati tuishimo ni tata sana ndugu yangu!!!
huu ndio wasiwasi niliokuwa nao kabla ya kuanzisha mada hii
hubby we mjanja sana huh!!!! haya bana...
kwani wewe ulipenda uoe mke mwenye sifa zipi? may be baada ya kuzijua hizo, naweza kukuambia uende kabila gani?Nioe binti wa kabila gani?
FL1, asante sana,naomba nawe kwenye maombi yako uniombee, asante sana kwa mchango wakoicu...all the best katika uchaguzi mungu akuchagulie mke mwema umtakae