Ninyi wasichana, kwa nini hii tabia lakini?

Ninyi wasichana, kwa nini hii tabia lakini?

Mabinti wanakera sana, am very sorry for ladies!

kwa sasa nimefikisha wasichana kama wanne hivi kuwachumbia na kama kawaida kuna swali wananiuliza "Una kazi"? wakati huo huo kati ya hao wanne, ni mmoja tu ndiye ana kazi but the rest ni jobless, sasa wa kwanza nilimjibu kuwa "sina kazi" nikamuuliza "wewe una kazi"? akasema hana khaaa!! nilijisikia vibaya sana kwa swali lake hilo, akasema kama huna kazi "nipotezee" kumbuka wakati huo ki-uhalisia mimi nina kazi na nimeajiriwa! wa pili hivo hivo, wa tatu hivo hivo ila yeye nikamwambia kuwa mimi ni mmachinga tu na nilikuwa nimevaa hovyo hovyo, akasema "sipo tayari" ss wa nne yeye akaniuliza una kazi gani? nikamwambia mimi ni "mkulima tu" nalima mboga mboga nauza soko kuu hapa kariakoo, akasema Mhh! haya bwana nidanganye tu, naye siku hiyo nilikuwa nimevaa hovyo hovyo sana, akasema yeye haangalii "kazi ya mtu" na yupo tayari. kweli kabisa ndo mchumba wangu na mwezi ujao tunaoana.

My take: wasichana muwe makini sana.

Akupende nani?
 
Sasa ww unasema huna kazi alafu familia utailisha mawe!??ww sema unafanya kazi flan mana kama huna kazi sasa ww utakuwa sio mpambanaji

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Halafu wanaume wengine kweli ni wafuasi wa mulugo sasa wewe kazi huna then unataka binti akulee au utamtunzaje? mchumba ni lazima atunzwe na mapenzi yanahitaji palizi ya matendo na hapo lazima pesa ihusuke nyie wanaume vipi kazi ni kigezo muhimu kukujua kama wewe sio marioo na unaweza kula kwa jasho nahisi huyo wa nne aliyekukubalia umri wake umekwenda na anatatafuta mume kujenga heshima tu
 
Mh!. Kwa hiyo unataka kuolewa na vitu viwili kwa pamoja, unahitaji mwanaume na at the same time you need his job. Kweli kwa mtindo huo mtaishia kupigwa mimba tu na hakuna kuolewa

wewe watu tunaishi kwa malengo mimi uniweke ndani huna kazi..... kwani umeoa kuja kuvumiliana au kuishi? hapo kwa kweli siwezi kutoka kwa wazazi kwenda kuteseka kwa mwanaume kulikoni ..... kabisaaa naona hili gari bovu napanda huku nikijipa moyo tutafiki no no no no no no!!!!
 
Ngoja na mimi nitafute mmoja nimtongoze tuone na ubaba paroko wangu kama atanikatalia...lol!

Eti kondoo wangu na mhudumu wa mahitaji yangu ya kichungaji Husninyo nitakataliwa?

maliza sala zote kwanza
 
Last edited by a moderator:
Mabinti wanakera sana, am very sorry for ladies!

kwa sasa nimefikisha wasichana kama wanne hivi kuwachumbia na kama kawaida kuna swali wananiuliza "Una kazi"? wakati huo huo kati ya hao wanne, ni mmoja tu ndiye ana kazi but the rest ni jobless, sasa wa kwanza nilimjibu kuwa "sina kazi" nikamuuliza "wewe una kazi"? akasema hana khaaa!! nilijisikia vibaya sana kwa swali lake hilo, akasema kama huna kazi "nipotezee" kumbuka wakati huo ki-uhalisia mimi nina kazi na nimeajiriwa! wa pili hivo hivo, wa tatu hivo hivo ila yeye nikamwambia kuwa mimi ni mmachinga tu na nilikuwa nimevaa hovyo hovyo, akasema "sipo tayari" ss wa nne yeye akaniuliza una kazi gani? nikamwambia mimi ni "mkulima tu" nalima mboga mboga nauza soko kuu hapa kariakoo, akasema Mhh! haya bwana nidanganye tu, naye siku hiyo nilikuwa nimevaa hovyo hovyo sana, akasema yeye haangalii "kazi ya mtu" na yupo tayari. kweli kabisa ndo mchumba wangu na mwezi ujao tunaoana.

My take: wasichana muwe makini sana.

Naona umesahau kuwa , mke mwema anatoka kwa Mungu na mume mwema anatoka NMB,CRDB,BARCLAY.NBC,EXIM BOA,BOT nk
 
so ndio unatafuta true love eeh...unaweza kuta wife to be alishakuchunguza akajua u have a job n all...i pity a person that claims hana kazi au anavaa ovyo jst to see who cn accept them...according to me ts a low blow
 
Hivi wanaume wa humu ndani hamna vya kupost eeenh??? kila siku wanawake, wanawake, hamchoki??
mbona kuna vitu vingi tu vinatokea uswahili vyaeza kuletwa hata na tukavijadili,
wANA WAKE, wanawake, wakati hao hao mnowaseka kila siku ndo kipoozeo chenu mkifika majumbani mwenu
mxiuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Labda ni kwa kuwa unapenda kuvaa hovyo hovyo ndiyo maana unaulizwa maswali ya hovyo hovyo.....
Na kama yeye mwenyewe anajua anavaa ovyo ovyo kwa watu wanaomuona anaonekanaje? inawezekana na aliyempata nae ni ovyo ovyo
 
Inamaana ulikua unawaona siku hiyo hiyo na kuwatangazia uchumba... wewe ni noma!!!!!!!!!!!!

Mkuu huwa wanauliza mwanzoni kabisa, tena wengine mkiwa bado mpo barabarani huku namba bado hajakupa.
 
Back
Top Bottom