CORAL
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 2,828
- 1,861
Na kama yeye mwenyewe anajua anavaa ovyo ovyo kwa watu wanaomuona anaonekanaje? inawezekana na aliyempata nae ni ovyo ovyo
Yaani mtu anatafuta mchumba amevaa ovyo halafu anashangaa kuulizwa kama ana kazi. Ikiwa ameshindwa kujinunulia nguo atawezaje kumnunulia mkewe? Halafu bila kazi atatunzaje familia? Kazi ni kitu cha msingi sana unapofikiria kuoa maana bila pesa hakuna maisha.Suala la kama msichana ana kazi au hana halihusu. Akihiari kuolewa na wewe ili kazi yake ndio itunze familia sawa maana ameridhia. Sasa wewe unapomuapproach ukitaka kumuoa lazima ajue umejipanga vipi kukabili majukumu ya familia. Uongo hautakiwi, eleza ukweli.