Ninunue simu ipi

Nashukuru mkuu japo weakness.zake.hazina.waterproof na je? kuna utaofuti gani kati ya LTE na 4g mkuu hiki kitu nacho nashindwaga kutofautisha!
s5 ni waterproof, sema simu used achana na hii mambo utaingiza kwenye maji halafu ife hapo hapo, waterproof inataka warranty.

4g na lte ni kitu kimoja mkuu, 4g ni generation ya nne ya mtandao wa simu na LTE ni technology ambayo ime meet standard ya 4g.

kwenye 3g kulikuwa na WCDMA, HSPA, EVDO, HSPA+ etc

na 4g ina LTE na LTE advanced na wengine

2G ina gprs, cdma, edge etc
 
Dooh bonge la somo mkuu ahsanteh san mkuu
 
Hapana sio lazima nipate Htc,naomba nishauri nyingine..
flagship za mwaka jana zisizotumia snapdragon zitakufaa kwa budget hio, tafuta simu kama hizi
-samsung galaxy s6
-samsung galaxy note 5
-huawei mate 8
 
Km unataka cm ya ukweli epuka doble line, na km bajeti yako inaruhusu simu zisizo na masahaka ni iphone na samsung (za ukweli) namaanisha nenda dukani moja kwa moja kwa ma-dealer wao, ogopa vishoka
 
flagship za mwaka jana zisizotumia snapdragon zitakufaa kwa budget hio, tafuta simu kama hizi
-samsung galaxy s6
-samsung galaxy note 5
-huawei mate 8
Shukrani sana chief,ingawa umeniacha kwa hizo terminologies
 
Shukrani sana chief,ingawa umeniacha kwa hizo terminologies

simu bora ya mwaka ya kampuni ndio inaitwa flagship, na snapdragon ni processor maarufu zaidi za simu lakini mwaka jana walifeli walitoa cpu zinazopata joto sana, ndio maana sijakushauri HTC M9 ambayo ipo ndani ya budget yako sababu inapata sana joto.

galaxy s6, note 5 na mate 8 hazitumiii hio snapdragon hivyo hazikuathirika na tatizo hilo la kupata joto sana
 
Shukrani saana Chief kwa ufafanuzi,na moyo wa kujitolea. Mungu akubariki!
 
Note 5 ilitoka note edge kama mbadala wake.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…