Ninunue simu ipi

Me nina swali lingine,nikitaka kujua simu used imetumika mda gani nafanyaje,kuna app ya kuangalia au?
Piga hizi namba kama sikosei ni...*#*#4636#*#*

Kisha kila kitu utakiona

NI KWA SMARTPHONES PEKEE
 
Nimesema note na s series kwa ujumla sio lazima ziwe za mwaka huu kwani si kuna s3,s4 na kuendelea. Pia si kuna note 1,note 2, note 3 na kuendelea au.
Kwa budget ya 300 unapata s5 used in good condition.. make sure ina 4g...
 
zipo kibao mkuu, almost low end zote zinatoka battery ipo hii

LG X5 - Full phone specifications

na hata flagship zao za sasa battery zinatoka kama vile lg g5.

ila zote hizi haziishindi lg g2 kwa value.

MKuu kuna kuna hizi simu nampango wa kubadiri simu sasa hapa ipi ni nzuri katika upande wa camera (Selfie & back),ram,battery,display
S5,iphone 5s,lg 4,note 4,htc desire eye na note 4 edge napenda kucheza games,speed ya net,camera maan najua upande wa battery smartphone kawaida kutokaa na charge (hpo kuna android na ios ila nishauri tu kulingana na hivo vigezo mkuu).ahsanteh
 
hapana s5 zote ni za 2014, ukiiona leo ujue ni ya 2014, inaweza kuwa used au imekaa sana dukani


MKuu kuna kuna hizi simu nampango wa kubadiri simu sasa hapa ipi ni nzuri katika upande wa camera (Selfie & back),ram,battery,display
S5,iphone 5s,lg 4,note 4,htc desire eye na note 4 edge napenda kucheza games,speed ya net,camera maan najua upande wa battery smartphone kawaida kutokaa na charge (hpo kuna android na ios ila nishauri tu kulingana na hivo vigezo mkuu).ahsanteh
 
kwa selfie desire eye ni nzuri zaidi, ila kwa simu nzuri zaidi kwenye aspect zote ulizotaja Note 4 ni nzuri zaidi. ila pia itategemea na bei utakayopata maana almost zote zinafanana specs ukipata moja ina bei rahisi sana chukua hio
 
Chief hiyo namba mbona nikituma msg inasema failed
 
haina memory card, battery yake haitoki na pia ni simu ya kizamani kidogo, ukitoa mambo hayo ni simu nzuri nzana specs zake ni almost kama s5 na ukiipata chini ya laki 3 hakuna simu yoyote inayoweza kushindana nayo kwenye specs kwa bei hio
Chief,I plan kununua Htc phone,naomba nishauri ipi nzuri na reasonable price
 
Nashukuru mkuu na unazunguamje hizi xiaomi redmi hizi zikoje nazo?
 
edge ya note 4 haina advantage kwa note 4 ya kawaida labda tu hio display iliopinda. tofauti na edge kama ya s7, wakati bei inakuwa juu

Nashukuru mkuu japo weakness.zake.hazina.waterproof na je? kuna utaofuti gani kati ya LTE na 4g mkuu hiki kitu nacho nashindwaga kutofautisha!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…