Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,598
- 5,187
Hua unaishia kusoma jina la simu tu au laah.manke mara nyingi zilikotajwa xiaomi na maelekezo ya kuzipata pia hayajafichwa.nenda kwenye uzi wake nilioanzisha mie utajifunza mambo mengi saan
Hizi simu zinauzwa wapi ? Naomba malelekzo huwa naona zisifia humu lakini sijui maduka yake