Ninunue modem gani ?

Hii ni kwenye Simu tu...
Sio kweli, mimi huwa natumia hizo 400mb kwa buku 2500 kwenye modem yangu ya zain.
Andika neno "internet" kwenda 15444 halafu reply kwa neno 'yes'
Baada ya hapo unakula mzigo kama kawa.
 
nakushauri ununue modem za zain au voda kwa kuwa unaweza kuzi unlock na kutumia line za mitandao mingine.
Lakini modem za zantel zinatumia line ambazo ni built in, na huwezi kuswap lines
 
buy vodacom ama zain,but iwe ya huawei,
since ni easy kuchakachua na utaweza kuweka laini yoyote,
 
jamani mwenzenu kwenye tuta modem yangu ni
ZTE
K3565-Z
IMEI:353462042118310
 
jamani mwenzenu kwenye tuta modem yangu ni
ZTE
K3565-Z
IMEI:353462042118310
nahitaji code za kuflash na ku unlock
 


naomba usome post yangu hapo juu.

Je bado unadhani wapo poa sana?
 
Mi naona voda is the best, kwa kutumia package yao ya unlimited (free download and upload) ya Tsh, 30,000 kwa siku 30.
Package hii haina limit ya download limit na usiku unapata 512Kps ambayo inaweza download kwa speed ya 60KBps. Movie ya 700mb ni masaa 3 tu usiku.

Kama unataka speed zaidi ni Tsh 60,000 unlimited download.
 

Sijui kuhusu sasa lakini hiyo unlimited download ni changa la macho huwa wanakuwa wanakata kata connection...., anyway the best ni kuchukua either voda au zain na kuiflash ili uweze kutumia line ya voda kama ni zain au vice versa
 
kwa vile ni cdma hata ukitoka nje ya mji. mtwango ni ule ule tu...........high speed
ila hawa wengine ukitoka tu imekula kwako tena bila ya mboga ....... :biggrin1:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…