Ninunue Laptop ipi?

Ninunue Laptop ipi?

Ni nzuri na pia huwa ni unique. Housing zake huwa na plastic ngumu kiasi tofauti na laptop nyingi. Kama wewe ni mtunzaji unaweza kukaa nayo miaka bila kupoteza upya wake.
Mie ninayo Asus nilinua 2013 lakin mpk sasa ni mpya na iko kwenye ubora uleule ka nilinunua jana. Mkuu kanena point
 
Unahitaji kwa matumizi gani?

Kama ni mwanafunzi wa chuo au college yoyote na unahitaji kwaajili ya kusomea. Angalia specs zifuatazo
.. Processor Iwe pentium au core i3 au zaidi. Ila usichukue Celeron.
..Ram 4GB au zaidi
..Harddisk 500GB inatosha
..ukubwa uwe 15.6" au ndogo kidogo,ila usichukue mini Laptop itakutesa.
..brand iwe Dell,hp,lenovo,acer,gateway etc ila usichukue Toshiba
Toshiba zina matatizo yapi???
 
Nnataka kununua laptop mpya lakin sijafaham sifa na ni aina gani nkachukue,, mwenye uzoefu anisaidie
Manunuzu ya vitu kama hivyo hutegemea sana na matumizi unayotaka kuyatumia.

Je ni kwa ajili ya uandishi?
kwa ajili ya entertainment?
Kwa ajili ya games and the like?
graphic designs au kitu gani?
 
Manunuzu ya vitu kama hivyo hutegemea sana na matumizi unayotaka kuyatumia.

Je ni kwa ajili ya uandishi?
kwa ajili ya entertainment?
Kwa ajili ya games and the like?
graphic designs au kitu gani?
For the ''average user", ni ipi nzuri mkuu?......
 
Bajeti yako ni gani?
Kama una mpunga mrefu, mabraza meni na wadada wa kileo hununua Apple. Ila mwenzangu na mimi kama unataka angalau na wewe uwe na laptop, basi nenda Kariakoo ukaulizie yeyote ya bei nafuu.

Sio kila Apple ni bei kubwa, inategemea na specs. Kuna Dell, Sumsung etc., kwa sababu ya specs zake bei yake utanunua Apple hata 4. Namaanisha kuna brand new apple laptops za bei ndogo ukilinganisha na brand zingine.
 
Usinunue kabisa toshiba mkuu, ngoja wataalam waje kukupa data!
Mkuu Toshiba ninayo mwaka wa tatu huu, haijawahi kunisumbua hata kidogo. Laptop kusumbua ni kutokana na matumizi yako na aina ya kazi unazozifanyia.
 
Hp kama hp sio compaq mkuu
Accer na HP CompaQ zilikuwa mbovu sana kipindi cha nyuma, sijui status yake kwa sasa, lakini sipendekezi mtu kununua. Nunua ASUS, Sumsung, Lenovo, Dell, Apple, MSI. Check recommended best laptops in 2016: 15 best laptops you can buy in 2016 | TechRadar

Vitu vya kuzingatia ni Processor e.g. Intel core (AMD, ARM) i3, i5, i7, series/generation (4th, 6th, etc.,), number of cores, number of threads, at least 2.0 Ghz+, Memory (including type, e.g DDR4/5), 2 - 128 GB (or extendability), number of slots, Graphics/Video card including type and series, e.g. Nividia GeoForce (GTX 980M, 4GB DDR5 RAM), GPU, SSD Storage, HD e.g 500 gb, 2 TB, Optical Drive (DVD/CD Burner/Writer), WiFi (including speed, e.g AC Dual-Band 3.0 - 5 GHZ), Bluetooth( e.g. 4.0), Battery type (including number of cells), screen resolution and size, Webcam, e.g 720p HD, Card Reader, Adapter, Warranty, case colour, operating system, weight, key board/screen backlight, etc etc. Mambo yapo mengi ya kuangalia, haya ni kwa uchache tu! Kwa matumizi gani? ya kawaida au gaming? Hayo ndio maswali ya kujiuliza.
 
Naomba niasidie apo mie sio Mjuzi sana hv ssd na hdd vinatofaut gan naona we uko deep kdgo mkuu
 
Toshiba zina matatizo yapi???
toshiba zinazokuja bongo kwanza nyingi hazikuwa kwaajili ya africa. pia muonekano especially keyboard zinaboa. baadhi ni nzito kubeba pia material yanayounda housing na skeleton yake hayajanibariki . Lid kulegea au kuvunjika mihimili yake ni rahisi.
 
Kitu cha Sony Viao pale kati yenye processor ya Intel Core i5 2.7Ghz, RAM 4GB na HDD 1TB upate rangi ya upendo kama maroon au radish blue flan amaizing
Ni balaa aisee.
 
Kitu cha Sony Viao pale kati yenye processor ya Intel Core i5 2.7Ghz, RAM 4GB na HDD 1TB upate rangi ya upendo kama maroon au radish blue flan amaizing
Ni balaa aisee.

Sony ni brand nzuri, nyingi bei zake ni balaa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom