Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,641
kwa mpya hutapata laptop nzuri kwa bei hio, utapata tu vimeo vya celeron na pentium ongeza hadi 700,000 hadi 800,000 utapata mashine ya i3. brand si muhimu sana kwenye pc.
umetishika nini?Asante mkuu... Lkn unanitisha
mkuu kwa nini brand sio muhim sana, nilikuwa na Hp pavillon ilikufa feni yake mpaka leo sitaki kuzisikia Hp...kwa mpya hutapata laptop nzuri kwa bei hio, utapata tu vimeo vya celeron na pentium ongeza hadi 700,000 hadi 800,000 utapata mashine ya i3. brand si muhimu sana kwenye pc.
cha muhimu ni kilichomo ndani, haisaidii ukiwa na laptop ya HP au DELL halafu ndani ina specification ndogo.mkuu kwa nini brand sio muhim sana, nilikuwa na Hp pavillon ilikufa feni yake mpaka leo sitaki kuzisikia Hp...
poa sana mkuucha muhimu ni kilichomo ndani, haisaidii ukiwa na laptop ya HP au DELL halafu ndani ina specification ndogo.
kuhusu kuharibika, zote zinaharibika cha muhimu uwe tu na warranty ikizingua unairudisha.
huwa kikawaida laptop karibia zote zinafanana vitu vya ndani sababu watengenezaji ni hao hao.
mkuu kwa nini brand sio muhim sana, nilikuwa na Hp pavillon ilikufa feni yake mpaka leo sitaki kuzisikia Hp...
niliipeleka kwa fundi feni ikabadilishwa mara mbili lakini hamna kitu..ikabid nimuuzie tu kama speaFeni mbona tatizo dogo sana na linatengenezeka.? Kama kweli imekufa feni lakini
Mwambie kabsa asije hapa na short model names/numbers. Tunataka maelf hapa ili tuone ni gen gan na herufi asisahau kuweka kwa mbere ya maelf ili tuone perfomance yakeCha msingi search kwenye laptop unayotaka kununua angalia specificationa bila kujali ni dell au hp ama lenovo, Njia rahisi ni kuminya ile button ya start / window then search hili neno DXDIAG Anza kucheki ipi iko poa, Ukiona umechanganyikiwa wewe orodhesha specs ziweke humu tukudadavulue...Cha msingi nakushauri ucheki processor na ussishie tu kucheki kwamba ni core i3, i5 au i7...andika na model kabisa mfani core i5 6500u, core i5 7200u, .n.k
niliipeleka kwa fundi feni ikabadilishwa mara mbili lakini hamna kitu..ikabid nimuuzie tu kama spea
Mkuuu vitu haviwezi fanana durability.cha muhimu ni kilichomo ndani, haisaidii ukiwa na laptop ya HP au DELL halafu ndani ina specification ndogo.
kuhusu kuharibika, zote zinaharibika cha muhimu uwe tu na warranty ikizingua unairudisha.
huwa kikawaida laptop karibia zote zinafanana vitu vya ndani sababu watengenezaji ni hao hao.
mkuu kwa nini brand sio muhim sana, nilikuwa na Hp pavillon ilikufa feni yake mpaka leo sitaki kuzisikia Hp...