Ninunue feni(fan) au A.C

Ninunue feni(fan) au A.C

Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu
Mkubwa sana

Epuka mambo yote ambayo yatakusababishia

ajabu kabisa yaani si bora hiyo million 2.6 akajenge vyumba viwili simple awe na kwake.! sema hao ndio wale wananunua iphone ya million 3 alafu bado anakaa kwa wazazi au kapanga kigheto chake uswahilini..mtoa mada ana bajeti 150,000 alafu eti analetewa pigo za million 2.6.! kwenye chumba kimoja cha kupanga.!
🤣🤣🤣naishiwa pawa na energy
 
Kwamba bora hiyo Tsh 2.6M akajenge vyumba viwili awe na kwake?

Hivi umeshawahi kujenga hata banda la kuku?
 
Wakuu nina budget ya 150000, baada ya feni yangu niliyokuwa natumia kuharibika, nikapata idea ya mini A.C.
kuna baadhi ya A.C naona zinauzwa, yaani zile A.C ndogo za kusimama.

Naomba mtu yeyote anayeitumia aniambie kama kweli inafaa. je, inaweza kumudu hili joto la Dar, au ninunue tu feni kubwa ya 150K?

Nimepanga single room.
naomba mwenye uwelewa wake anisaidie
Funga panga boi.
 
We jamaa AC sio jambo la mchezo mchezo uliza tuliowahi kutumia kwa siku nonstop inakula umeme hasi 10,000

Ac ni jini la umeme unatakiwa uwe na hela sio yamawazo, cha pili 150000 huwez pata ac zile ni aircooler wanaweka mabarafu sio ac na zile ac za kweka chini ni more zan 500k hapo ni used mpya hadi 8000 btu ndogo

150 achana na ndoto za ac
 
Air Cooler si ndo kirefu cha neno A.C
mimi siulizii Air conditioner, naulizia Air Cooler,
ndo nauliza, air cooler inafaa kwenye chumba kimoja cha kupanga?, na hiyo budget yangu ya 150k, naweza kupata aircooler?
 
Mnatuchanganya sasa kwani AC maana yake nini?

Air conditioner? Au
Air cooler?
 
Ni kweli walikupanga mkuu.

Ac kwa matumizi ni kama freezer.

Kwa siku linachapa kuanzia unit2 hadi 3 likitetema mfululizo kutwa nzima.

Ukiliwasha, likapoza chumba ukalizima, laweza kutafuna unit 1 pekee.
Asante mkuu , hili naenda nalo sambamba kabisa ! Ngoja nijipige pige kidogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom