kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,245
Wanataka kupedwa, kusikilizwa, kubembelezwa, kuheshimiwa, kuaminiwa. Hey, nimesahau kitu fulani, wanapenda to be treated like Queens.
Hivi nyinyi wadada, huwa mnafikiria nini wanaume wanataka kutoka kwenu?
Wanawake wengi inaonekana wamesahau kuwa kupendwa ni kupenda na ndipo dhana ya kupendana inakuepo.
Hii dhana ya wadada kupenda kitu kuliko mtu siyo nzuri.