Naogopa kuwa nyumba dar, hasa za wenyeji.
Ukipita Kariakoo wale watu wooote usiku wanalala mahali fulani.
Nyumba zingine zina watu hata 20.
Bado za wenyeji nazo zinajaa sana hasa wakati wa kazi, hebu fikiria wee ndo nyumba afu uko pale kwa mtogole.
Afu nyumba hata hazisafiri wala hazina likizo.
Sitaki kuwa nyumba kabisa lol
kumbe wewe no she, your id sounds masculin. hiyo ya pili ushapoteza au bado?
kongosho!
Posti zako hapa zinanisababisha nigune tu......
Na hatari nyingine ni kuwa kitanda, unalaliwa daily afu na kushuhudia matukio halali na halifu.
1-Jela
2-Kufa
3-Kubakwa
4-Talaka
5-Ugonjwa
6-Shetani
7-............
Mimi naogopa sana Jela na Shetani, Je ww unaogopa nini? Ukitaja na sababu itakuwa vizuri....
Bora hiyo kuliko kuwa kiatu. Kila siku unakanyagwa tuu.Na hatari nyingine ni kuwa kitanda, unalaliwa daily afu na kushuhudia matukio halali na halifu.
Bora hiyo kuliko kuwa kiatu. Kila siku unakanyagwa tuu.