Nini unakimiss usiku wa leo?

When life was simple, pole kwa kumiss your old life.
this days kume badilika, hata genuine love ni rarely kuipata achilia mbali kuiona.

Imagine ili umfurahishe mtu ni mpaka umnunulie zawadi ya gharama kubwa, take them to expensive restaurants au hotels.

Back in the days neno nyumba ilikuwa zaidi ya hekalu, siku hizi ni sehemu ya kelele na maigizo tu.
 
It's true mambo yamebadilika sana.
Lakini pia wanaume wengi hawana misingi ya kujenga familia kama ile ambayo sisi tuliexperience zamani, so mabinti wa sasa nao wanawachukulia kama sehemu ya kujinufaisha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ