Bwiru Boys Technical School Alumni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bwiru Boys Technical School Alumni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TinyMonster, Jul 29, 2011.

 1. TinyMonster

  TinyMonster JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Wanajamvi wote waliosoma Bwiru Boys Technical School Mwanza wanaombwa kujiunga na group letu la facebook kwa kubofya hapa: https://www.facebook.com/groups/bwiruboys/?ap=1

  Nia yetu ni kuwaunganisha Bwiru Boyzians wote kwa ajili ya kufahamiana (Networking) na pia kuisaidia shule yetu ya zamani ambayo kusema kweli kwa hivi sasa hali yake sio nzuri. Tumepanga kukutana mwezi wa nane, kitakuwa ni kikao cha pili baada ya cha kwanza kilichofanyika mwezi huu pale Mlimani City. Tafadhali kwa maelezo zaidi jiunge na kundi ambalo mpaka sasa tayari lina member 69.


  Nawasilisha.
   
Loading...