Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 11,903
- 27,617
- Thread starter
-
- #101
Endelea kumaintain kamwili hako hako.Mimi nimepungua kwasababu nimeumwa umwa sana ila zinakuwaga kwenye 50 hivi hazijawahi kuzidi
Sawa buana, watu wasio na makalio ya kumwagika wanaonewa sana!Ni ukweli sio maneno 😃😀
Tajiri, huu ugomvi mimi siuingilii, inaonekana una mizizi deep 😂😃😀😀Naonewa wivu mwenzio utajiri wangu una mpa mtu bipolar 😃😀😀😀 au nakosea ndugu yangu 100 others
Afu wana hasira sana 😃😀😀😀 ukimgusa kidogo tu keleleSawa buana, watu wasio na makalio ya kumwagika wanaonewa sana!
Afu wana hasira sana 😃😀😀😀 ukimgusa kidogo tu keleleSawa buana, watu wasio na makalio ya kumwagika wanaonewa sana!
😃😀😀😀 Una miaka 3 huuTajiri, huu ugomvi mimi siuingilii, inaonekana una mizizi deep 😂
Ushamba na kukosa ukomavu.Weka ignore list huyu
Humu siku hizi vijana miyeyusho sana wengine ni wivu tuUshamba na kukosa ukomavu.
Mwanaume ukikataliwa katalika kistaarabu!
Baada ya kusoma heading nikakimbilia kufungua na kuangalia picha.
Nilifikiri una kilo 695 😂😂
Labda wana stress za mengi 😂 😅 😆Afu wana hasira sana 😃😀😀😀 ukimgusa kidogo tu kelele
Hatari sana!😃😀😀😀 Una miaka 3 huu
Hili haliwahi kulisema ndugu yangu 100 others naunga mkono hoja 😀😃😀Labda wana stress za mengi 😂 😅 😆
Nenda barNajivunia kuwa hai tu.Sema nje ya mada mwenye link ya kuona simba day please huku duniani mambo si mambo.Azam max nayo naona mauza uza hapa.Msaada tafadhari
😹😹😹 Mbona upo naye na unacheka naye, si vin huyo parody lake..!!Umejipendekeza nikakuignore naona kiroho kinakuuma umeanza kutukana.
Lamomy naomba nisaidie kumporomoshea na huyu gasho naona kidonati kinampwita!
View attachment 3469034
View attachment 3469038
View attachment 3469039
Jamani 😂 😂Nenda bar
Kiongozi bar uongo kingine hizi za huku hawaonyeshiNenda bar
Basi pole.. nikiona wanapooshesha/ link nitakushtua.Kiongozi bar uongo kingine hizi za huku hawaonyeshi
Ntashukuru sana kiongozi.Basi pole.. nikiona wanapooshesha/ link nitakushtua.